Rasmi NCCR Mageuzi yajitoa Uchaguzi Serikali za Mitaa

Mbinyo wa kisiasa kuwabana CCM na serikali yake ya awamu ya tano unaendelea mpaka kufikia Jumatatu tutasikia kishindo cha chama kikongwe kikiangua chini chali kwa pressure kubwa itokanayo na wananchi kukitekeleza chama kilichoishiwa hoja za kisiasa na badala yake kinatumia ujambazi wa kidola kubaki madarakani.
 
Wajiondoe wote kwani wakijiondoa hatuishi. Tulikuwa na maendeleo wakati wa chama kimoja na upinzani umetuletea vurugu na umaskini tu


State agent
Unaishi vizur sana lakini waulize hawo mabwana zako kwanini wanaumia.
 
Wajiondoe wote kwani wakijiondoa hatuishi. Tulikuwa na maendeleo wakati wa chama kimoja na upinzani umetuletea vurugu na umaskini tu


State agent
We jamaa unajua kujilipua kweli kweli! Hivi ni nani kaleta umaskini katika nchi hii? Yaan mnatamani kukana kuwa hamkuwahi kuongoza nchi hii tangu tupate uhuru! Bashite aliingia na mtutu pale Clouds ile sio vurugu? Bashite yupo upinzani?
 
Wameshikwa pabaya mno !
Kwa namna wanavyofanya ni watu wasiojiamini pamoja na madaraka walionayo. Faulo walizofanya kwenye uchaguzi wa Wabunge waliowanunua, wapinzani wakakaa kimya. Sasa hapa ndio wakaona waongeze chumvi mana hawakujua out come.
 
Back
Top Bottom