Rasmi: Mbwana Samatta asaini miaka minne na nusu Aston Villa

Maadhimisho Miaka140 ya Aston Villa FC

Maadhimisho ya miaka 140 tangu Aston Villa FC ilipoanzishwa Birmingham Uingereza. Fuatilia historia hii yenye clips nyingi za matukio muhimu katika klabu hiyo ya Uingereza ikionesha wachezaji nyota enzi zao, mechi muhimu, makombe iliyobeba na kauli za mashabiki

21 Nov 2014
We are Aston Villa. David Bradley, actor and Villa fan, celebrates 140 years of this great club.



Source: Aston Villa FC
 
Dah kwenye banda la video tumebaki watu 10 tu baada ya Samata kutoka wakati nyomi ilijaa mpk mlangoni
 
January 28, 2020
Birmingham, England.


Aston Villa FC yafuzu kucheza Fainali ya Kombe la Carabao mwezi Machi 2020.

Full Time 90' + 6'
Aston Villa 3 - 2 Leicester City

Aston Villa FC kukutana na Manchester City au Manchester United katika fainali ya Kombe la Carabao baada ya ushindi wao dhidi ya Leicester City leo .

Nafasi nyingine kwa Mbwana Samatta kucheza fainali dhidi ya timu kubwa Man City au Man Utd ktk uwanja maarufu wa Wembley jijini London huko nchini Uingereza.
 
January 28, 2020
Birmingham, England

Aston Villa 2-1 Leicester City (Carabao Cup Semi Final) | Highlights
Venue : Villa Park Stadium



Source: Aston Villa FC
 
February 1, 2020
Bournemouth, England

Bournemouth 2 - 1 Aston Villa

Mbwana Samatta's first goal for Aston Villa was not enough to prevent a 2-1 defeat at 10-man Bournemouth.



Source: Fresh TV

The January signing, who became the first player from Tanzania to feature in the Premier League, headed home in the 70th minute to hand the visitors hope at Vitality Stadium.

It came after Jefferson Lerma had been sent off for the Cherries early in the second period following a second bookable offence.

But Villa could not find a leveller and were undone on the south coast by goals from Philip Billing and Nathan Ake in the space of seven minutes towards the end of the first half.

Defeat ends Villa's three-match unbeaten run in all competitions and they will be looking to get back on track at home to Tottenham Hotspur after the forthcoming two-week winter break.

Dean Smith made one change from the side who started the midweek victory over Leicester City which sent Villa to the Carabao Cup Final, fit-again Pepe Reina coming in for Ørjan Nyland between the sticks.

And the Spaniard was forced to save from Billing after eight minutes as the visitors started on the front foot.

Half-chances came at both ends but the best opportunity of the opening 30 minutes fell to Dan Gosling, who could only send his effort over the crossbar from 10 yards having been found by Harry Wilson.

Grealish curled narrowly wide of the far post but it was the Cherries who opened the scoring in the 37th minute when Billing converted from Gosling’s header back across goal.

And the hosts doubled their advantage just before half-time, Ake poking home from close range after Reina parried Ryan Fraser’s strike following Wilson’s blocked free-kick.

Lerma's long-range strike clipped the top of the crossbar shortly after the restart, only for the Cherries midfielder to see red soon afterwards having been shown a second yellow card.

Callum Wilson went close for the home side before Matt Targett saw his strike cleared to safety at the other end as both sides threatened.

And it was Villa who hit back to give themselves hope as Samatta sent a header over the onrushing Aaron Ramsdale after substitute Keinan Davis had seen his attempted shot blocked and loop upwards.

Inspired, the visitors pressed for an equaliser, Grealish sending an effort just wide, the lively Davis denied by Ramsdale before Samatta saw a header kept out by the Cherries keeper.

But it was not enough as the home side held out for all three points.

Villa: Reina, Konsa (Engels 46), Mings, Hause, Guilbert, Douglas, Nakamba (Trezeguet 80), Targett, El Ghazi (Davis 58), Samatta, Grealish.

Subs: Nyland, El Mohamady, Lansbury, Hourihane.

Goals: Billing (37), Ake (44), Samatta (70)


Red card: Lerma (51)

Who’s next?
Villa now head into the two-week winter break in the Premier League are not back in action until Sunday, February 16 when they face Tottenham Hotspur (ko 2pm) at Villa Park.

Source: Bournemouth 2-1 Aston Villa
 
3 Feb 2020
Birmingham, England

Claret & Blue Podcast # 15 What Samatta with Aston Villa?


Dan Rolinson, Mat Kendrick and Ashley Preece sit down to discuss the Bournemouth defeat after a week of positivity, they also answer your Villa related questions.



Source: Claret & Blue - An Aston Villa Podcast
 
3 Feb 2020
Dar es Salaam, Tanzania

.UCHAMBUZI :SALEH JEMBE "ISHU YA SAMATTA



Watanzania Wanapaswa Watulie" Kufuatia kitendo cha Watanzania kuandika maneno yasiyokua na staha katika kurasa za mitandao ya kijamii ya Aston Villa klabu ambayo anachezea Mtanzania Mbwana Samatta , Samatta amewataka Watanzania kuacha hiko kitu mara moja kutokana na kujenga picha mbaya ya Nchi ya Tanzania.

Akizungumza na Global TV Mchambuzi wa Masuala ya Soka Saleh Jembe amesema Watanzania wanatakiwa kuwa na utafiti wa kitu ambacho waandika katika mitandao hiyo kutokana sio kweli kile ambacho kinasemwa na ilivyoonekana katika mechi yao dhidi ya Bournemonth.

Hata hivyo Jembe amesema ana Amini Samatta atafanya vyema katika mchezo dhidi ya Tottenham Siku ya Jumamosi. Hata hivyo maneno hayo yametokea baada ya Mechi yao dhidi ya Bournemonth na Mashabiki Watanzania kuandika kwenye mitandao ya kijamii ya klabu hiyo wakilalamika kuwa ananyimwa pasi na Jack Grealish.

Source: Global TV online
 
Kuchezea klabu ya Aston Villa tu hatulali je akiitwa kuichezea timu ya taifa ya England itakuwaje? Maana wanatulazimisha tuione England kama PEPONI vile :mad::mad::mad::mad:
 
January 20, 2020
Birmingham England

NEW SIGNING MBWANA SAMATTA
Exclusive haya ni mahojiano ya Mbwana Samatta akiongea na chaneli rasmi ya klabu ya Aston Vill FC baada ya kukamilisha mkataba kuchezea klabu hiyo.



Source: Aston Villa FC

Habari kamili :
Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania amesaini rasmi mkataba wa miaka minne na nusu na Timu ya Aston Villa ya mjini Birmingham, England.

Mbwana Samatta na klabu yake mpya wameweza kukubaliana mkataba na sasa klabu inafuatilia kukamilisha kupata kibali cha kazi na international transfer clearance certificate vitavyo mruhusu kuchezea klabu hiyo.


Hii inamaana Aston Villa na Genk KRC wameafikiana masuala yote mchezaji huyo nyota wa Tanzania kuhama kwa kitita cha £ 10,000,000. Klabu ya Aston Villa ipo nafasi ya 18 ktk msimamo wa league ya Premier League ikiwa na pointi 24. Mbwana Samatta pamoja na midfielder Jack Grealish ndiyo karata turufu atakayo itegemea kocha Dean Smith wa Aston Villa ili timu hiyo isiteremke daraja.

Mmojawapo wa Shabiki mkubwa wa Aston Villa ni Prince William ambaye ni mjukuu wa Malkia wa Uingereza Elizabeth II. Hii ina maana kuwa kasri ya Malkia Elizabeth II itakuwa inazizima kwa kelele, furaha, gonga-tano-kiganja za mjukuu na kusikia jina la Mbwana Samatta na Tanzania kila atapofunga goli.

Aston Villa chini ya midfielder kapteni Jack Grealish mwenye miaka 24 aliyefunga mabao 7 na Mbwana Samatta kuchukua nafasi ya namba 9 kuwa tumaini kubwa kuwachachafya walinzi wa timu pinzani na kuleta matokeo makubwa ya pointi kibao kwa Aston Villa isiteremke daraja.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 wa zamani wa Genk KRC ya Ubelgiji alifumania nyavu mara 76 akiwa na timu hiyo ya Ubelgiji katika michuano ya ligi ya Ubelgiji, Europa na mwaka jana ktk Uefa Champion league.

Katika UEFA Champion league Mbwana Samatta aliweza kufunga magoli dhidi ya timu kubwa zenye kuta ngumu za ulinzi za Liverpool na Napoli ya Italy na kuanzia hapo nyota ya Mbwana Samatta ilingara na timu kubwa ulaya kuanza kutafuta saini yake.

Uwanja wa nyumbani wa Villa Park umekuwa wa kihistoria maana toka 1897 timu ya Aston Villa haijawahi kutumia uwanja zaidi ya huo. Timu zingine kama Arsenal, Manchester United n.k ama walihamisha viwanja au kuvifanyia ukarabati mkubwa viwanja vyao.

Historia nyingine ya kutukuka ya Aston Villa ni walicheza miaka 24 mfululizo ktk premier league ya Uingerza kuanzia 1992 hadi 2016 walipoteremka daraja. Lakini hawakukaa ktk daraja la chini muda mrefu na kurejea tena ktk premier league mwaka jana 2019.

Video toka maktaba:
Shabiki mkubwa wa Aston Villa, Prince William alipewa heshima ya kuingia ktk pitch ya uwanja wa Villa Park pamoja na mkewe Kate walipata fursa kuongea na wachezaji pia kuona miradi ya klabu hiyo kurudisha fadhila kwa wapenzi na mashabiki kwa kushirikisha watoto wa mji huo.



Source: The Royal Family Channel
hili litimu halitoboi EPL....level zake ni za championship kule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
March 01, 2020
London, England

Wembley Stadium Carabao Cup Final

Match : Manchester City vs Aston Villa FC
Time : 16:30hrs GMT




Source: Aston Villa FC
 
Samatta kusaini miaka minne katika club ya Astonvilla binafsi naona Kama Ni very risk kwakua endapo timu itashuka daraja na samatta hakuonesha kiwango kizuri Basi kununuliwa na club nyingine itakua ngumu sababu ya mkataba wa miaka minne.

Samatta anahitaji msimu mmoja pale uingereza ili kuweza kuonesha kiwango chake halisi ambacho hatuna shaka nacho Ila kwa Sasa hatoweza kutokana na Aina ya timu hasa ukizingatia kwa ratiba ilivyo wanakwenda kupambana na Big 4 wale wababe pale juu. Yote kwa yote tunakuombe katika fainali hii bro ufunge hata moja tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Goal ! Samatta 41'
Samatta gives Villa hope

Carabao Cup Final Wembley Stadium live

Full time :: Aston Villa 1 - 2 Man City



Source: Clouds Media
 
Samatta kusaini miaka minne katika club ya Astonvilla binafsi naona Kama Ni very risk kwakua endapo timu itashuka daraja na samatta hakuonesha kiwango kizuri Basi kununuliwa na club nyingine itakua ngumu sababu ya mkataba wa miaka minne.

Samatta anahitaji msimu mmoja pale uingereza ili kuweza kuonesha kiwango chake halisi ambacho hatuna shaka nacho Ila kwa Sasa hatoweza kutokana na Aina ya timu hasa ukizingatia kwa ratiba ilivyo wanakwenda kupambana na Big 4 wale wababe pale juu. Yote kwa yote tunakuombe katika fainali hii bro ufunge hata moja tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mikataba ya mwaka mmoja au miezi sita iko Tanzania na nchi nyingie zakubahatisha. Samatta kusainishwa miaka minne maana yake akiperform fresh atauzwa kwa dau kubwa sana kuvunja mkataba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom