Rasmi CHADEMA ndio chama chenye msimamo sana

Rasmi CHADEMA ndio chama chenye msimamo sana

Ukweli mchungu lakini ni lazima tuukubali tu. Kulikua Kuna mashinikizo ya kila namna kutoka kila upande yakitaka Mbowe na chadema waombe msamaha.

Ilifikia hadi humu kukawa na nyuzi nyingi za kutupiana maneno kuhusu kuomba msamaha. Ila chadema wote pamoja na mbowe walisema HATUTAOMBA MSAMAHA.

Hii ina maana kubwa sana, kwa kuwa pengine walitaja kujikweza ili waombwe msamaha na ionekane chadema pamoja na mbowe ni dhaifu Sana.

Na iwe fundisho kwa mamlaka kuwa, watu wapo tatari kuumia Ila hawataweza kupiga magoti kuipata haki yao.

Chadema imeshinda, MBOWE ameshinda. Huu ukweli ni mchungu Ila tuukubali.
Ilifikia hadi humu kukawa na nyuzi nyingi za kutupiana maneno kuhusu kuomba msamaha. Ila chadema wote pamoja na mbowe walisema HATUTAOMBA MSAMAHA[emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1533]
 
Haki hainyang'anywi haiporwi haki haifi ipo tu isipopatikana leo itapatikana kesho. Wadhalimu wameshidwa haki imeshinda dunia imeshuhudia. Asante Mungu bado haki ya shambulio la Tundu Lisu, ipo siku inakuja.
 
Hichi ndio chama halisi cha upinzani achana na zile takataka nyingine za wachumia tumbo vibaraka.

#MaendeleoHayanaChama

20220130_104611.jpg
 
Kivipi? Mama ndiyo mwenye msimamo/huruma. Kama siyo mama wangefia gerezani watu wenu
 
Nauona mpambano wa Uchawa Utakaopamba Moto kwa Ccm kati ya Chadema na Act-W.
.
Kila mtu atajipendekeza kwake, kila mtu ataomba kukutana na Chief State House.
.
Kila Chama kitataka kiwe mtetezi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauona mpambano wa Uchawa Utakaopamba Moto kwa Ccm kati ya Chadema na Act-W.
.
Kila mtu atajipendekeza kwake, kila mtu ataomba kukutana na Chief State House.
.
Kila Chama kitataka kiwe mtetezi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Cdm haijawahi kujipendekeza na usitegemee wajipendekeze maana hiyo ni kazi ya Zitto na team yake
 
Why kila siku walikuwa wanatuma watu Kwa mama?

Yan vijana wa chadema mnadanganywa kama watoto wa kupewa pipi

Viongozi wenu kila siku wanaomba Mwenyekiti achiwe Leo kaachiwa mnaanza kujifanya nyie ni nyie
Nenda kadeki choo Lumumba. Kwa huyo bitozo zaidi ya kupewa makavu na Lisu Brussels hakuna mwana CHADEMA aliyejihangaisha na Hangaya.
 
Back
Top Bottom