Rasmi CHADEMA ndio chama chenye msimamo sana

Kwahio huu ndio Ushindi ?

Kweli tuna Safari ndefu sana kama Taifa...., As of now we are moving the wrong way, kila hatua tunazidi kupotea...
 
Ukweli mchungu lakini ni lazima tuukubali tu. Kulikua Kuna mashinikizo ya kila namna kutoka kila upande yakitaka Mbowe na chadema waombe msamaha.

Ilifikia hadi humu kukawa na nyuzi nyingi za kutupiana maneno kuhusu kuomba msamaha. Ila chadema wote pamoja na mbowe walisema HATUTAOMBA MSAMAHA.

Hii ina maana kubwa sana, kwa kuwa pengine walitaja kujikweza ili waombwe msamaha na ionekane chadema pamoja na mbowe ni dhaifu Sana.

Na iwe fundisho kwa mamlaka kuwa, watu wapo tatari kuumia Ila hawataweza kupiga magoti kuipata haki yao.

Chadema imeshinda, MBOWE ameshinda. Huu ukweli ni mchungu Ila tuukubali.
Ukweli huhamisha milima. "No fear; No retreat".
 
CDM ni chama kikubwa na imara sana.
Changamoto ni kuwa na watu wengi wanaoendekeza ushabiki wa reja reja kama ule wa manara wa Yanga.
Vita vya kisiasa havihitaji kejeli wala matusi.
Wajikite kwenye mikakati thabiti na jumuishi!
Watanzania hawa wanahitaji mbadala wa ccm.
 
Wao wameomba Kwa kutumwa na mwenyewe mbowe,

Coz mbowe alijua watu wengi wanaakili kama zako wakati yy anateseka miezi Tisa now

And thanks God the man is out

Nimecheka kwa nguvu kinoma. Haya maelezo yanasadifu matamanio yako.
 
Why kila siku walikuwa wanatuma watu Kwa mama?

Yan vijana wa chadema mnadanganywa kama watoto wa kupewa pipi

Viongozi wenu kila siku wanaomba Mwenyekiti achiwe Leo kaachiwa mnaanza kujifanya nyie ni nyie
Shukrani sana kwa EU
 
Leo ataipiga hatari sana,lakini yote kwa yote mbowe sio gaidi,lakini kumbe hawa ccm wanaweza kukufunga tu kwa chuki zao binafisi mungu ni mwema.
Chama cha majini
 
Why kila siku walikuwa wanatuma watu Kwa mama?

Yan vijana wa chadema mnadanganywa kama watoto wa kupewa pipi

Viongozi wenu kila siku wanaomba Mwenyekiti achiwe Leo kaachiwa mnaanza kujifanya nyie ni nyie
Mamako yupi?una mama wa kuombwa msamaha wewe?
 
Back
Top Bottom