atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,552
- 9,815
Nonsense [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]kaombewa na wakuu wa dini mama kawaelewa kama mbowe anaona anahaki sana akatae aseme waendelee na kesi tuone kama anahuo ubavu
Nonsense [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]kaombewa na wakuu wa dini mama kawaelewa kama mbowe anaona anahaki sana akatae aseme waendelee na kesi tuone kama anahuo ubavu
Tatizo huna akili msamaha uko wapi wewe zuzu?sasa unapoandika hivyo wakati keshakubali msamaha unakuwa na maana gani waliomshitaki wameamua kumuachia sasa kama anaoona anahaki kwanini askatae na aseme kesi iendelee hadi mwisho? mnafanya mchezo na kukaa jela nie kanyooka mbowe
Kanyooka mjomba wakosasa unapoandika hivyo wakati keshakubali msamaha unakuwa na maana gani waliomshitaki wameamua kumuachia sasa kama anaoona anahaki kwanini askatae na aseme kesi iendelee hadi mwisho? mnafanya mchezo na kukaa jela nie kanyooka mbowe
Hana akili huyo kilazaMbowe kaandika barua ya kuomba kuachiwa?
Pumbafkaombewa na wakuu wa dini mama kawaelewa kama mbowe anaona anahaki sana akatae aseme waendelee na kesi tuone kama anahuo ubavu
Wa chatleMungu yupi. Huyu huyu ama
Tuna imani na Mbowemzee wale walikusanywa na hangaya kupitia vibaraka wake na wapige picha ya pamoja kuigiza.Mbowe ni mshindi mwacheni kumpotezea muda akawatumikie watanzania wanaimani naye
Eu hawataki kutoa misaada kwa nchi isiyo heshimu haki za binadamuWao wameomba Kwa kutumwa na mwenyewe mbowe,
Coz mbowe alijua watu wengi wanaakili kama zako wakati yy anateseka miezi Tisa now
And thanks God the man is out
Chini ya ccm mtazidi kupoteaKwahio huu ndio Ushindi ?
Kweli tuna Safari ndefu sana kama Taifa...., As of now we are moving the wrong way, kila hatua tunazidi kupotea...
Mungu anasingiziwa vitu vingi sana, na kuna siku atawawajibisha kwa hili.MUNGU ndiyo ameshinda tumshukuru kwa kazi yake
Mshamba fulani kutoka koromitjeUnapenda sana mambo ya kinyume nyume wewe!
Ndo maana unapenda pia kuingiliwa kinyume.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji867][emoji867]
Yanakuwasha weweMkuu makalio yanakuwasha?
Eu hawataki kutoa misaada kwa nchi isiyo heshimu haki za binadamu
Mamako yupi?una mama wa kuombwa msamaha wewe?
Mtajuana huko huko kwenu kwenye kichaka cha wachawiThen angekuwa ametoka muda mrefu sana
Shukrani sana kwa EU
Nimecheka kwa nguvu kinoma. Haya maelezo yanasadifu matamanio yako.
Mzee wa watu wametoka mwache akaenjoy na family yake
Ngoja uone kama utamuona tena anaongea mambo ya katiba mpya
Unazungumzia wazee wa ngogwe au😂😂😂Hichi ndio chama halisi cha upinzani achana na zile takataka nyingine za wachumia tumbo vibaraka.
#MaendeleoHayanaChama