hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 9,017
- 10,048
Gaidi la Nchi limeingia Ikulu
Yeah means usicheze na serikali, hata ww Leo unaweza kuwa na kesi ya kubaka
Gaidi la Nchi limeingia Ikulu
Hakuna serikali ya hivyo. Serikali zinajiheshimu kama ya Mama samiaYeah means usicheze na serikali, hata ww Leo unaweza kuwa na kesi ya kubaka
Kama hili la kubambikia watu kesi ni sayansi ya siasa basi ccm imekwisha maana hii siyo siasa ni kuharibu taifa. Lakini pia ni kukichafua chama na serikali, huku wapinzani wakiongeza umaarufu.Siasa ni SAYANSI!Katika sakata hili la Mbowe,mshindi ni serikali kwa sababu malengo ya kumzuia Mbowe kuichanganya serikali mpya ya Samia mara tu baada ya kuipokea kutoka kwa marehemu Magu,yalifanikiwa.Miezi takribani 9 aliyokaa Mbowe mahabusu ilitosha kabisa kwa serikalini mpya kujiweka sawa katika majukumu yake bila ya presha ya upinzani. Hakika CCM wanajua namna sahihi ya kudili na presha za upinzani kiintelijensia zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna serikali ya hivyo. Serikali zinajiheshimu kama ya Mama samia
Sawa mkuuMungu ameshinda kupitia Chadema