Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,358
- 289,449
Mungu ibariki Chadema
Wewe mwenyewe ni mjinga fulani tu
Mtajikomba sana kwa mama wa kizenji lkn hana mpango na nyinyi washenzi
PumbafSasa ndiyo utukane mzehe?? Kwa kauli hizi mctegemee kukubalika/kupata kura, labda mujipigie wenyewe.
Pumbaf
StupidBhebhe nang'ho, unanitukana?
Sidhani kama kuna wa kukupinga kwenye hili uliloliweka hapa. Huu ndiyo ukweli wa wazi kabisa ingawa ni mchungu kwa baadhi ya watu.Ukweli mchungu lakini ni lazima tuukubali tu. Kulikua Kuna mashinikizo ya kila namna kutoka kila upande yakitaka Mbowe na chadema waombe msamaha.
Ilifikia hadi humu kukawa na nyuzi nyingi za kutupiana maneno kuhusu kuomba msamaha. Ila chadema wote pamoja na mbowe walisema HATUTAOMBA MSAMAHA.
Hii ina maana kubwa sana, kwa kuwa pengine walitaja kujikweza ili waombwe msamaha na ionekane chadema pamoja na mbowe ni dhaifu Sana.
Na iwe fundisho kwa mamlaka kuwa, watu wapo tatari kuumia Ila hawataweza kupiga magoti kuipata haki yao.
Chadema imeshinda, MBOWE ameshinda. Huu ukweli ni mchungu Ila tuukubali.
Hivi wale waliomtamkia kuwa "safari hii huchomoki" wako wapi na wanajisikiaje baada ya uwamuzi wa Mahakama???Hilo lipo wazi na ndiyo maana watawala wanaichukia sana cdm.
Kina Mwafulani watakuwa wapo mdalani wanaharisha sasa hivi.
Umejuaje km wameomba msamaha? Miafrika ndivyo mlivyo.Umejuaje hawajaomba msamaha?
Hao wote ni wali maji tuHivi wale waliomtamkia kuwa "safari hii huchomoki" wako wapi na wanajisikiaje baada ya uwamuzi wa Mahakama???
Sent from my Nokia 7 plus using JamiiForums mobile app
Pigo kubwa kwa machawa wa lumumbaChange I karata zenu upya. Kifuatacho sasa hivi ni KATIBA MPYA na TUME HURU ya UCHAGUZI.
Sent from my Nokia 7 plus using JamiiForums mobile app
Walimuomba msamaha DPP ili afute kesi?
Mungu ameshinda kupitia ChademaMUNGU ndiyo ameshinda tumshukuru kwa kazi yake
Kwaresma imeanza vyemaMpumbavu hata umtwange kwenye kinu hawezi kubadilika. Pole sana. MWANAKONDOO AMESHINDA.
Gaidi la Nchi limeingia IkuluZaman mngetishia kuandamana Ila Kwa sasa hakuna kitu mnaweza kutishia,
Mwenyekiti amekaa jela miezi nane mko Tu mnaandika na kulialia hapa
Leo kaonewa huruma na kutoka baada ya maombi ya walio wengi mnaanza kujiona nyie ni washindi
Watu wa ajabu Sana nyie
Hahahaaa Gaidi kubwa laingia ikulu.Kuna watu wanalala na viatu Leo
Mungu Huyu
Zambarau mmeingiwa na woga
Mbowe anaipenda Tz kuliko nafsi yake wengine ni magumashi
Zambarau acheni udini mtawin lakini kwa udini wenu hamfiki mbali
Kazi na iendelee