Hiki chama ni zaidi ya chama cha siasa.Ukweli mchungu lakini ni lazima tuukubali tu. Kulikua Kuna mashinikizo ya kila namna kutoka kila upande yakitaka Mbowe na chadema waombe msamaha.
Ilifikia hadi humu kukawa na nyuzi nyingi za kutupiana maneno kuhusu kuomba msamaha. Ila chadema wote pamoja na mbowe walisema HATUTAOMBA MSAMAHA.
Hii ina maana kubwa sana, kwa kuwa pengine walitaja kujikweza ili waombwe msamaha na ionekane chadema pamoja na mbowe ni dhaifu Sana.
Na iwe fundisho kwa mamlaka kuwa, watu wapo tatari kuumia Ila hawataweza kupiga magoti kuipata haki yao.
Chadema imeshinda, MBOWE ameshinda. Huu ukweli ni mchungu Ila tuukubali.
Wale makomandoo ni makomandoo kweli kweli.