Rasimu ya Katiba inayopendekezwa 2014

Rasimu ya Katiba inayopendekezwa 2014

acheni kupotoshwa na ndg zangu ukawa sasa mnalalamikann mimi mwenyewe nilikuwa mstar wa mbele kuwahimiza warudi bungen wamejifanya kichwa ngumu matokeo yake ndo hayo katiba inaletwa hawana hoja wamebaki maandamani haki mtaipata kwa kuvuruga amani shame on you mliniudhi sana chadema
 
Tangu jana rasimu iliposomwa na A.Chenge wazanzibar maeneo ya unguja wamekuwa wakifurahi na kuruka ruka kwa kuwa rasimu ile imesikia kilio chao cha wataifaidi tanganyika milele. moja ya mambo waliyofurahia ni :-
  • kuondolewa kwa mafuta na gesi katika mambo ya muungano
  • rais wa zanzibar kuwa makamu
  • usirikiano wa kimataifa kuondolewa kwenye mambo ya muungano hivyo zanzibar inaweza kujunga na OIC
  • kuendelea kufaidi bunge la tanganyika maana limebaki vile vile.
 
Mambo yaliyofanya kuandaa lasimu hii mpya ya Sitta na Senge;
1. Wametach vitu vichache kudraw attention ya wavuvi, wakulima, wasanii na makundi mengine muhimu bila kuingia in details.
2. Wameondoa mambo muhimu yaliyotajwa katika lasimu ya tume ya mabadiliko ya katiba na wamefuta au kuacha kuingia into details. Rasimu ya Pili ilikuwa iko bayana lakini hii ya tatu imegusia baadhi ya mambo na kuyaacha hewani kwa maana nyingine ukiyasoma unahitaji nyongeza. Na nyongeza wao wameiachia Bunge kutunga sheria zitakazo fafanua malengo yao wanayotaka. Kwa Watanzania wa kawaida ninao wafahamu mimi, hawapendi kufuatilia mambo kwa undani, rasimu hii ina mitego mingi kuliko maelezo!
 
kutokana na maandamano ya kupinga Bunge la katiba Polisi mkoani Mwanza wamewakamata viongzi wa chadema wa ngazi mbali mbali mpaka sasa walio kamatwa ni Mwenyekiti wa Wilaya ya Nyamaghana,Katibu mwenezi Wilaya ya Nyamaghana,Mwenyekiti wa vijana Mkoa wa Mwanza,Matron Wilaya ya Nyamaghana,RB kata ya Mkorani,katibu mwenezi kata ya sangabuye na wananchi zaidi ya 30 wamekamatwa.Polisi imetumia gari la washa washa, magari zaidi ya 6 ya FFU,na polisi kanzu zaidi ya 100 . hadi wakati huu polisi wanaendelea na msako wa kuwakamata viongozi wa Mkoa na Kanda ili kuwazuia wasi ratibu maandamano ya kupinga ufujaji wa fedha za umma unao endelea Bungeni Dodoma.

ukawa ni pepo by jk
 
Kuwa mpole. Mimi kijijini kwetu hakuna anayehangaishwa na jina. Wananchi wanapata shida sana kwa sababu hawana matibabu, elimu kwa watoto, maabara, pembejeo na huduma nyingine za kijamii. Kuna watu wanakufa kwa njaa au kwa kukosa matibabu, lakini sijawahi kuona wala kusikia wakifa kwa kukosa neno 'Tanganyika'. Hangaikia mambo ya kukupa manufaa badala ya kuhangaikia majina. Majina hayana tija, ndiyo maana hata wanangu hakuna mwenye jina la 'kizungu' wala 'kiarabu'. Tanzania ni jina lililobuniwa na Watanzania huru wenye akili na utashi huru ndani ya nchi yao mpya iliyo huru.

wewe ndo kichaa kabisa huwez jenga nyumba amabayo haina msingi imara ukategemea uishi vizur, et kwavile umeipaka rangi nakuezekwa kwa vigae.Katiba ndo msingi wa kila kitu, Majina yana tija ndio maana hata wewe una jina lako,Zaa mtoto usimpe jina.
 
Moderator,
Naomba uwawekee wanajamvi namna ya kuipigia kura Rasimu hii ya 3.

Mfano: Rasimu ya Katiba inayopendekezwa (Bunge Maalum la Katiba) inafaa?

Ndiyo au Hapana.
 
wewe ndo kichaa kabisa huwez jenga nyumba amabayo haina msingi imara ukategemea uishi vizur, et kwavile umeipaka rangi nakuezekwa kwa vigae.Katiba ndo msingi wa kila kitu, Majina yana tija ndio maana hata wewe una jina lako,Zaa mtoto usimpe jina.

Sijui mwenye jina la Manyere ameona jina lake halitajwi au siyo fermus sana hivyo ameona njia pekee ya kujitangaza ni kutoa maoni tofauti ili wale wote wasiokubaliana naye wataje jina lake au wajiulize x2 kuhusu huyo jamaa????! Ooops ... nimekuta nimamtangaza tayari... HAJITAMBUI..... mwandusi huyo!....
 
Soma ibara ya 40

Uhuru wa imani ya
dini
40.-(1) Kila mtu ana uhuru wa mawazo, dhamiri, imani na uchaguzi
katika mambo ya imani ya dini na anao uhuru pia wa kubadilisha dini, imani
yake au kutokuwa na imani na dini.
(2) Kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni
huru na jambo la hiari kwa mtu binafsi ilimradi hakiuki sheria za nchi.
(3) Shughuli ya uendeshaji wa jumuiya za dini itakuwa nje ya shughuli
za mamlaka ya Serikali.
Hapo wametenda vema sana habari za dini kila mtu afanye yake ilimradi usivunje sheria ya nchi.
 
wewe ndo kichaa kabisa huwez jenga nyumba amabayo haina msingi imara ukategemea uishi vizur, et kwavile umeipaka rangi nakuezekwa kwa vigae.Katiba ndo msingi wa kila kitu, Majina yana tija ndio maana hata wewe una jina lako,Zaa mtoto usimpe jina.[/QUOTE]
Ndugu yangu, hii ni JF siyo FB. Kama unakuja na hoja, jenga hoja ili tupambane kwa hoja. Hapo mwisho, unamaanisha tupo katika nchi isiyo na jina?
 
Sijui mwenye jina la Manyere ameona jina lake halitajwi au siyo fermus sana hivyo ameona njia pekee ya kujitangaza ni kutoa maoni tofauti ili wale wote wasiokubaliana naye wataje jina lake au wajiulize x2 kuhusu huyo jamaa????! Ooops ... nimekuta nimamtangaza tayari... HAJITAMBUI..... mwandusi huyo!....

Hizi ndizo aina za washiriki wa mijadala! Tumia ID moja badala ya kuhangaika-hangaika.
 
acheni kupotoshwa na ndg zangu ukawa sasa mnalalamikann mimi mwenyewe nilikuwa mstar wa mbele kuwahimiza warudi bungen wamejifanya kichwa ngumu matokeo yake ndo hayo katiba inaletwa hawana hoja wamebaki maandamani haki mtaipata kwa kuvuruga amani shame on you mliniudhi sana chadema
Hata kama zingeandikwa sentensi kuwa tz itakuwa mbingu hamna kitu!! Sifa kuu ya maridhiano haipo!! hakuna katiba hayo ni makaratasi ya kuendea vyoo vya shimo! huko chigoma au wakipenda sifa tutafungia vitumbua kwa akina mama ntilie!!
 
Utabaki kusubiri maridhiano wenzenu wanachapa mwendo
 
Pengine sijui nimeingia kwenye mjadala na mtu mwenye uelewa kiasi gani. Muungano unasababisha umasikini? Burundi ni masikini-wao ni muungano wa nchi ngapi? Malawi ni malofa kupindukia-Malawi ni muungano wa jamhuri zipi? Basi, niishie hapo.

Ndugu naona unafikiri watu wanataka Tanganyika ili tu kupata jina tanganyika hapana, watu wanataka tanganyika ili waamue mambo ya tanganyika wenyewe kama wazanzibar wanavyoamua yao wenyewe, ili ijulikane kimahesabu kuwa wadau wa muungano wanachangia vipi muungano huo, ili kutunza ardhi maana zanzibar watanganyika hawaruhusiwi kumiliki ardhi, ili kuondoa ubaguzi wa kimaeneo uliopo sasa.
 
acheni kupotoshwa na ndg zangu ukawa sasa mnalalamikann mimi mwenyewe nilikuwa mstar wa mbele kuwahimiza warudi bungen wamejifanya kichwa ngumu matokeo yake ndo hayo katiba inaletwa hawana hoja wamebaki maandamani haki mtaipata kwa kuvuruga amani shame on you mliniudhi sana chadema

halafu eti CHADEMA YAKO.

oin Date : 25th September 2014
Posts : 5
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0
 
Back
Top Bottom