Wenye uwezo wa kupakua tupakulieni basi maana binafsi na hamu ya kuujua huu upuuzi uliomo ili nione pa kuanzia kuwalisha wananchi sumu waje waikatae kwa asilimia 90 na zaidi.
Baba wa Taifa alifanya mengi mazuri. Lakini sijapata jibu ni kwanini alitokea kuchukia kiasi hicho neno Tanganyika! Kwamba ukitamka neno Tanganyika unaonekana kama Shetani! Eti Uhuru wa Tanzania Bara; kwa hili Mwalimu alikosea sana.
akili ndogo haiwez kutawala akili kubwa mkuu yawezekana we si great thinker ktk forum za kisiasa fuatilia historia ya muungano na makubaliano ya marais wakat huo na si kulaumu mazingira yalifanya hivyo na mwl nyerere the man is saint 2be no comments
Rasimu iliyotolewa leo ni uharo mtupu, wanajisisifia na kutamba kwa mbwembwe na vitu ambavyo wanajuwa kabisa katika rasimu ya Mzee Sinde hayakuwekwa kwa sababu si ya muungano. Sasa sijui wanaona waTz wote ni wapumbavu kama wao, wacha tumalize uchaguzi ili tuandike katiba ya wananchi tuwaache na katiba yao ya ccm wakaitumie kuzimu!!!!!!!