Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,976
hakuna aliyemsafi labda yesu pekee...
UKAWA wanajiona wasafi sana, hawana mawaa yoyote!
hakuna aliyemsafi labda yesu pekee...
Kyenju, ndiyo maana tunapaswa kwenda mbali ili nchi hii iwe moja kwa kuwa na serikali moja. Kwame alishaliona hilo siku nyingi sana. Atabaki kuwa sahihi.
Huoni jamaa walivyopigania Kadhi walau itajwe tu?Kumbe kutaja ni kutambua ee!!?
Wadau nimepitia Rasimu iliyowasilishwa kwa Mwenyekiti wa BMK kwa kweli ni kituko. Yaani ni kama ilani ya CCM wamejiandalia na si Katiba. Rais amebaki na Mamlaka yale yale ya kuteua hadi wakuu wa wilaya bila kudhibitishwa na chombo kingine. Kwa kifupi nakala ya rasimu hiyo ipo wadau msome then mje mtuambie kama kweli hii ndo rasimu ya katiba au ilani ya CCM.
Kwa nini neno Tanganyika linakera sana kutamkwa kwenye rasimu CCM na neno Zanzibar halileti kero?g)
(2) Wakuu wa Mikoa katika Tanzania Bara watateuliwa na Rais baada ya
kushauriana na Waziri Mkuu.
(3) Wakuu wa Mikoa katika Zanzibar watateuliwa na Rais wa Zanzibar.
(5) Pamoja na wajibu na madaraka yake yaliyotajwa kwenye masharti
yaliyotangulia ya Ibara hii, Mkuu wa Mkoa wa mkoa wowote katika Zanzibar
atatekeleza kazi na shughuli za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
atakazokabidhiwa na Rais wa Zanzibar, na kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ya
1984 au sheria yoyote iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi.
Chenge: uzalendo sio tunu ya taifa kwasababu mtu hazaliwi akiwa mzalendo, uzalendo unatengenezwa tena kwa muda mrefu. Chenge tena: moja ya uzalendo ni lugha ya taifa. My take. hivi mtu anazaliwa akiwa anajua lugha ya taifa, nisaidieni jamani nyie ambao angalau mlimaliza darasa la saba, mi hali yangu mbaya kielimu
Hivi mzee Jumanne Malecela ndiyo baba yako mzazi?- Hata mngekuwepo msingebadili anything CCM ndio Chama TAWala ok!!
Le Mutuz
Nimeipitia hiyo rasimu, kusema kweli haina lolote jipya, raisi bado ana madaraka makubwa, hakuna tume huru ya uchaguzi kwa vile bado inateuliwa na raisi na mengineyo mengi. Kusema kweli mawazo ya wananchi yametupiliwa mbali na ccm wamejihidi sana kulinda maslahi ya watawala.
Nimeipitia hiyo rasimu, kusema kweli haina lolote jipya, raisi bado ana madaraka makubwa, hakuna tume huru ya uchaguzi kwa vile bado inateuliwa na raisi na mengineyo mengi. Kusema kweli mawazo ya wananchi yametupiliwa mbali na ccm wamejihidi sana kulinda maslahi ya watawala. [/QUOTE mambo mapya yameongezeka tens Mazari ila kwa Kuwa haijaonesha baadhi ya mambo ya. msinigi ambayo watanzania wengi waliyatoa kama maoni ; basi hualali ni mdogo. kuhusu MA
daraka ya raising sioni tatizo kwenye rasim ipendekezwayo.
Hapa sijaelewa ina maana Zanzibar haitakua na raisi wa Jamhuri ya Tanzania?maana naona Makamu wa kwanza lazima awe kutoka ZanzibarHII naona kama sawa na ile ya mwaka 1977 au nimekosea...sioni jipya
b) Baraza la Mawaziri
Baraza la 109.-(1) Kutakuwa na Baraza la Mawaziri la Jamhuri ya Muungano
Mawaziri ambalo litakuwa na wajumbe wafuatao:
(a) Rais;
(b) Makamu wa Kwanza wa Rais;
(c) Rais wa Zanzibar ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Rais;
(d) Waziri Mkuu ambaye ni Makamu wa Tatu wa Rais; na
(e) Mawaziri wote wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
(2) Rais ataongoza mikutano ya Baraza la Mawaziri, na endapo Rais
hayupo, mikutano itaongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais na kama wote
wawili hawapo, Waziri Mkuu ataongoza Mikutano hiyo.
Mkuu kama unaweza kuibandika hapa iweke ili na sisi tupate pa kuanzia.kumsikiliza Chenge mi siwezi kabisa na si kuthubutu.