Kejeli zingine bhana.Hayo ndo madhara ya kutafuta ada ya watoto ulingoni(kwenye masumbwi)
Nadhani imefika wakati huu jamaa kuachana na ulingo na kujikita ktk mchezo huo kwa nadharia nyingine. Umri umemtupa mkono 'jioni ishaingia' kama watoto wa mjini tusemavyo.. Othwz njaa itamtoa koromeo siku 1
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums