Rashid halisi huyu hapa

Eti walinitumia kapicha kuwa ni huyu jamaa kumbe sio
 
Attachments

  • 1428765858523.jpg
    28 KB · Views: 1,852
Aisee hata mimi wakati hii kitu ukiipiga na maganda ya nyanya au mayai inaumia kabisa mpaka damu zinatoka nyingi tu

Mshana huyo aliuwawa na kdf alikua n mmoja w alshabaab unaambiwa alikua anaujuzi wa bunduki balaa
 
Kwa muonekano kwa field imethibitika ni sniper

Yawezekana alionesha uwezo wa "ku-mark" akiwa kwenye recruit level so wakaona kwa muonekano wake laini (unaomficha) anaweza kuishi miongoni mwa jamii bila kuhisiwa. . . . au muonekano ndio ulimfanya awe trained na kupata uwezo wa ku mark. . . .
 
Yeah ni mbinu za kivita
 
Sikuwahi kufikiri unaweza kuwa na sura nzuri laini na ukawa na chuki moyoni. Siku zote huwa naamini chuki uliyojaza moyoni inahatibu sura. Leo nimebadili mawazo

"Deception by look". . . . . . . . .chuki, stone heartedness, heartlessness inaweza haribu gaze not sura my dada mtu anaweza kukuchekea ukafurahia meno na lugha laini ukanasa. . . . . .Gaze has it all ndio maana shades zinahusika saaaaanaaaa wakati wa "ill motive". . . . . .
 
Wenye sura laini ni hatari kwenye kila kitu kibaya, wanajificha nyuma ya muonekano bila kugunduliwa kirahisi.
Mfano wanaouawa na kukamatwa kwa ujambazi Arusha wengi wakionyeshwa ni poda tupu, wanaotapeli mabinti na kuwaacha wakiwa hawana simu, wala hawajui walipoamka na hata ujambazi wa kutumia peni
 
Wakorofi na watata wa kiume pia mitego yao wengi ni "visu" . . . .warembo haswa, sexy and enticing na wengi hunasa kirahisi tu. . . . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…