The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,143
Sasa uchawa unaingiaje ikiwa mtu ni zero brain?Mkiambiwa chama kipo kwa mwenye nacho mnajidai kuwa chawa mkumbukwe!
Kwanza mjue kabisa Samia na kundi lake hawana mipango na nyinyi watu wenye nasaba na Magufuli iwe kwa maeneo mtokayo nk!
Chegeni alipopigwa chini kwenye ubunge alijua adui yake ni Magufuli bila kujua kuwa Chegeni CV yako ya utendaji ni mbovu ikiwa ni pamoja na kupenda udokozi!
Tambueni tu hichi chama saizi kiko kwa wenye chama akina Makamba na Mosses!
Chegeni jitahidi kukumbuka kuwa mlimkejeli Magufuli ukijifariji kuwa kwa vile yu mauti mambo yako yataenda unavyotaka bila kujua kuwa watu wa ukanda huo wa nyonyo hususani wenye nasaba ya Magufuli hamtakiwi ila kwa vile mengi wenu ni vichwa maji hamjui! Humuoni hata Kafulila msukukuma wa Kigoma katemwa!,Robert Gabriel msukuma wa shinyanga naye katemwa! Akili mkichwa!
Ukiwa chawa wa Samia hakikisha uko vizuri kwenye kazi,uchawa tuu haiwezi kukusaidia..
Kazi iendelee