chikanu chikali
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 1,141
- 1,826
Mhe Rais Magufuli akihutubia Ukerewe leo ameuliza maswali mengi yasiyo na majibu,
Mfano wa maswali hayo ni ; Nyerere aliacha meli 14 ktk ziwa Victoria, aliacha viwanda vingi nchini, lakini leo hii havipo vyote je tulikosea wapi? Vilienda wapi?
Naomba nikusaidie Rais kuwa vyote hivyo CCM waliviharibu kwa ufisadi, ubinafsi, sera mbovu za uwekezaji nk. Hivyo leo hii meli hazipo na viwanda tatizo ni CCM. Kama tunajenga Tanzania mpya bora ungeifuta CCM ili tuanze upya kwani CCM ni kama chombo cha kurudisha maendeleo ya Tanzania nyuma.
Ziara njema Magufuli Mungu akuongoze kuthubutu kufuta hiyo chama.
By mkulima wa uporoto