comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 8,291
- 6,003
Katika Biblia iko hadithi ya mchungaji aliyewaacha kondoo wengi aliokuwa nao akaenda kumtafuta mmoja (one) aliyepotea.
Hadithi hii haiwagusi watu pale Hazina kama alivyoonyesha Naibu waziri wa Fedha wakati akimjibu Mh. Chegeni.
Majibu yake yanapingana na hadithi ya kwenye Biblia-haonyeshi kujali kuwa biashara zimefungwa badala yake anapata faraja na kusema kijivuni kuwa nyingi zimefunguliwa.
Kwa uhalisia tuna QUALITATIVE situation naye anatoa QUANTITATIVE response. Pengine atwambie thamani za biashara zilizofungwa na zile zilizofunguliwa labda tutaelewa.
Barrick afunge mgodi na tupate faraja kwa wachimbani wadogo 1000 kule iselamagazi wenye TIN tuseme tuko salama?