MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Kumbe hata Zanzibar kuna vijana wa aina hii?
kwa nini mkuu?Kumbe hata Zanzibar kuna vijana wa aina hii?
hahaawatu wana stress jamani
![]()

Mkuu huyo Jamaa yupo vizuri sana, tatizo hao majaji hamna Kitu hapo. Ni vilaza tu.Halafu mwamba anaflow tamu tu dizaini za akina Geez Mabovu RIP !
Wangemuacha akamaliza hamu zake Ile ni mizuka tu.

Kazi ya Madam Rita ni kuwatia moyo washiriki baada ya kukutana na makavu ya Salama.Halaf kuna kitu watu hawaelewagi kuhusu bss
Bss ni sitcom sio show ya kutafuta vipaj vya mziki the voice au xfactor ni show za kutafta vipaj vya mziki ndio maana majudge wake wanakuwa watu ambao wapo well established in the music industry (singers and producer) na sio host wa talkshows na radio turned tv presenters
Bss anaequalify kuwa judge ni master jay peke yake au labda kama angekuwepo na mzee kitime
Salama kaz yake ni kunogesha tu kipind kwa zile diss zake (funny yes...but also irrelevant)
Madam ritha jazi yake ni....ni....
Well hata sijui kazi ya madam ritha ila nahisi kutimiza idad ya majudge angalau wawe watatu cause wanahitaj tie breaker i guess