Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Ila kipaji anacho....
Inabidi BSS wawe na kikosi cha usalama na ulinzi pamoja na huduma ya kwanza.
Na cha Arusha juuHii mutu imepiga viroba tena vya malawi
Halafu mwamba anaflow tamu tu dizaini za akina Geez Mabovu RIP !Mbn jamaa kafanya fresh ka rap vizuli tuu au wanatala vipaji vya kubana pua?.????......
Jamaa kachana fresh kiukweli kipaji cha kuimba haimaanishi uimbe rnb tuu wanazingua bhn