Hayo ni mambo ya kizamani, sasa hivi watu wanaangalia penzi la dhati na vichupi chupi na virangi vyake.We kama bado unaangalia hayo its true that you are out of time-kwa mawazo yangu lakini.
Too old for this. Mi sivai kabisa
ukipendelea nyeusi it means kufua kwako ni nadra sana hivyo inakufichia uchafu,ukipenda white basi we msafi,sio unapenda white lakini inageuka njano afu umo tu,nyekundu mmmh
Kaptula ya jeans bila kufuli kwa ndaniHivi rangi za nguo za ndani zina tija yoyote kwenye mahusiano? Wewe kuna rangi mwenzio akivaa inakufurahisha au kukukera, ipi unaipenda sana, unadhani rangi hizo zinamaanisha chochote. Kwa mfano nguo ya rangi nyeusi ina tofauti gani na nyekundu kama mpenzi wako akivaa?
Too old for this. Mi sivai kabisa
Too old for this. Mi sivai kabisa
Nilidhani ni mimi nimepitwa na wakati, kwakweli huwa sina muda wa kuwaza ujinga hata chembe, na kuna watu nimeshawajurisha wasijekunitumia hizi forwad msg zao, na hii tabia inaelekea kuwa sugu na itawacost sana Wanawake.Nimeipenda comment yako aiseee watu wengine sijui wana ubongo wa namna gani ndo hawa hawa wanatengeneza sms za kuforwadiana maana zinaonesha dalili ya kukosa kazi na kuwaza upuuzi.
hivi watu wanavaa chupi za nini jamani? aya umevaa basi unaenda kuvaa vitu black huko unawanga au nini?
mimi sitokaa nivae chupi
wacha mwili wangu upumue ukue
access denied!mhm easy access neh!!
Duh hata haukagui kama kuna warts?wewe ni kiboko, utakuwa unatoka kule kwa akina iwe.Mimi wakati wa kugegedana wala huwa siangalii kama kavaa pichu au la! Tena kama asipovaa itanirahisishia kazi yangu.
ukipendelea nyeusi it means kufua kwako ni nadra sana hivyo inakufichia uchafu,ukipenda white basi we msafi,sio unapenda white lakini inageuka njano afu umo tu,nyekundu mmmh
Mi napenda akivaa ya rangi ya jeshi jeshi kama gwanda.
access denied!
Type yangu hii. Sema basii...
Mie navaa rangi mchanganyiko, kijanin nyeupe na blue.