Rangi za nguo za ndani.

Kigarama

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2007
Posts
2,492
Reaction score
1,243
Hivi rangi za nguo za ndani zina tija yoyote kwenye mahusiano? Wewe kuna rangi mwenzio akivaa inakufurahisha au kukukera, ipi unaipenda sana, unadhani rangi hizo zinamaanisha chochote. Kwa mfano nguo ya rangi nyeusi ina tofauti gani na nyekundu kama mpenzi wako akivaa?
 
Hayo ni mambo ya kizamani, sasa hivi watu wanaangalia penzi la dhati na vichupi chupi na virangi vyake.We kama bado unaangalia hayo its true that you are out of time-kwa mawazo yangu lakini.
 
ukipendelea nyeusi it means kufua kwako ni nadra sana hivyo inakufichia uchafu,ukipenda white basi we msafi,sio unapenda white lakini inageuka njano afu umo tu,nyekundu mmmh
 
unajidanganya,wachafu ndo defence zao hizo ila sikulaumu we utakua mwanaume wa kizamani na sio mwenzako
 
Mimi wakati wa kugegedana wala huwa siangalii kama kavaa pichu au la! Tena kama asipovaa itanirahisishia kazi yangu.
 
ukipendelea nyeusi it means kufua kwako ni nadra sana hivyo inakufichia uchafu,ukipenda white basi we msafi,sio unapenda white lakini inageuka njano afu umo tu,nyekundu mmmh

nyekundu kama pazia la mganga wa kienyeji
 
Hayo ni mambo ya kizamani, sasa hivi watu wanaangalia penzi la dhati na vichupi chupi na virangi vyake.We kama bado unaangalia hayo its true that you are out of time-kwa mawazo yangu lakini.

Nimeipenda comment yako aiseee watu wengine sijui wana ubongo wa namna gani ndo hawa hawa wanatengeneza sms za kuforwadiana maana zinaonesha dalili ya kukosa kazi na kuwaza upuuzi.
 
In reality kama utakuwa postive minded person huwezi kuanzisha thread ya kiwehu kama hii.
 
Mi napenda wasiovaa chochote ndani, kwani wakati nam-do huwa hawi nayo
 
Inategemea na rangi ya shuka na night dress kwa usiku..Kwa mchana pia inategemea..siku hizi kuna sexy colours kibao sio lazima iwe nyeupe
 
nachukia rangi za bluu bahari, njano, orange, nyekundu, kijani ya CCM uuh hazifai kuwa rangi za chupi kwangu mimi, napenda nyeupe, light pink, nyeusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…