Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,032
Me sihitaji make up hata lotion sipaki
Hapo sawa mkuu ila uwe unaandika me=Mimi maana hiyo michezo ya kutumia maneno kama me, mie, xixi ni ya wanaume wa Dar[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Me sihitaji make up hata lotion sipaki
Mkuu ngoja waje wakusikie ukiwahusisha watu wa kule na KAOGE mimi simo.KAOGE anatokea Musoma, Belle Tisa anatokea Morogoro! Nadhani mshanielewa!
hahaha sawa mkuuHahahahahaaaaaaa mkuu mimi mwenyewe Dume la mbegu hivyo siyo muoga na ukijilengesha 'naku.............kia'. Tambua tu kuwa hata vita zote 2 za Dunia zilianza na mtu mmoja hivyo haina maana kuwa waliofuatia walikuwa majike.
Vipi hautaki somo jipya?mbona kimya?Inatumika wakati Wa kushoot video tu na shuhuli maalumu kijana lazima upigwe mekap [emoji126] [emoji108]
sawa mtafiti. Huyo bere9 katokea ukoo huo? Na huzaliwa akiwa hivyo ama zinakuja kuota ukubwani?kuna baadhi ya koo zina lips nyekundu kuanzia wanawake hata wanaume wa koo hizo...especially wale wenye mixture ya bantu and hamitic ancestors....jaribuni kupitia vitabu vya jamii za kiafrica
Rangi za namna gani mkuu ?au hizi tunazopaka nyumba zetu?Jana nimemwona BELE9 amepaka ile rangi nyekundu kwenye lips kama wanavyofanya wanawake! Kina dada hebu niambieni hiyo rangi ni ya kazi gani na je inaleta picha nzuri kwa mwanaume kupaka?
Nilizoea kuwaona hao jamaa wa Comedy wakijipaka, nikachukulia kawaida kwakuwa ni waigizaji, labda wanafanya hivyo wakiwa kazini, sasa taratiiibu naona na watu wengine wanajipaka! Hii imekaaje? Kweli kuna haja ya kutandikana bakora.
nijinyonge kisa lipstick ambayo wifi yako kila asubuh anapakaroho imekuuma kweli!!
jinyonge tu hakuna namna.