Rangi ya mdomo wanayopaka wanaume inaleta picha gani?

Rangi ya mdomo wanayopaka wanaume inaleta picha gani?

KAOGE anatokea Musoma, Belle Tisa anatokea Morogoro! Nadhani mshanielewa!
 
Mkuu we lianzishe tu mimi nitakuunga mkono maana hawa mashoga wameshatuchosha sasa.
 
Mkuu we lianzishe tu mimi nitakuunga mkono maana hawa mashoga wameshatuchosha sasa.
kwaiyo unasubiri mpaka wanaume wa shoka waanzishe ww ndo uunge tela!!?

utakuwa jike wewe na huenda tukaku-unfollow!!
 
Utandawazi unaharibu jamii yetu sana watu kama hao ni wakupuuza MTU akiwa Na tabia za ajabu ajabu wale usijeleta Uzi jf maana ndio unawapa promo hawa washenzi mtoto Wa kiume toka lini akapaka rangi za mdomo mapambo toka enzi Na enzi ni kwa akili ya wanawake
 
  • Thanks
Reactions: nao
Weka picha!
0a6ec4c9016cc380fbf1e9fda598accd.jpg

0b4efa370f3afb49369cbfe394a91e5d.jpg
 
kwaiyo unasubiri mpaka wanaume wa shoka waanzishe ww ndo uunge tela!!?

utakuwa jike wewe na huenda tukaku-unfollow!!

Hahahahahaaaaaaa mkuu mimi mwenyewe Dume la mbegu hivyo siyo muoga na ukijilengesha 'naku.............kia'. Tambua tu kuwa hata vita zote 2 za Dunia zilianza na mtu mmoja hivyo haina maana kuwa waliofuatia walikuwa majike.
 
Kazi yake ni ili upendeze upendwe!

Pia kikwetu huku kusini dada akipaka unajua yupo siku zake za mwezi kwahiyo huwezi msogelea.

Sasa huyu dada-shosti Bele-tisa sijajua naye anaingia Mp?
 
Jana nimemwona BELE9 amepaka ile rangi nyekundu kwenye lips kama wanavyofanya wanawake! Kina dada hebu niambieni hiyo rangi ni ya kazi gani na je inaleta picha nzuri kwa mwanaume kupaka?

Nilizoea kuwaona hao jamaa wa Comedy wakijipaka, nikachukulia kawaida kwakuwa ni waigizaji, labda wanafanya hivyo wakiwa kazini, sasa taratiiibu naona na watu wengine wanajipaka! Hii imekaaje? Kweli kuna haja ya kutandikana bakora.
belle atakuwa kaamia dar
 
ndo hivyo sasa wanaume wanazidi kupungua
 
hawa vijana wetu wanakoelekea sijui tu mara watoboe maskio, ma pua, na hiyo ya lipstick ngoja tusubir
 
Hahaha hawa mods bhana! Nimemind hadi nikakosea heading. Sasa inasomeka vizuri.
 
Wasanii wanatumia nguvu nyingi ili wawe watanashati ..matokeo yake wanapitiliza,wanavuka mipaka mwishowe wanaonekana vituko mbele ya jamii.
sasa uyu akiitwa shoga atakua ameonewa kweli??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom