Rangi ya mdomo (lipstic) yavunja ndoa

Rangi ya mdomo (lipstic) yavunja ndoa

Wewe hazard umeijulia wapi bar yangu ya Hawii??? Mtaani kwangu naishi kwa docha.
Hahaha nilikua naishi korogwe zaman mkuu,,,kwa hyo hawaii,toroka uje,kez pub,770, huko tumevuruga sana,5n, n.k
 
Hahaha nilikua naishi korogwe zaman mkuu,,,kwa hyo hawaii,toroka uje,kez pub,770, huko tumevuruga sana,5n, n.k
Hahahah! Kez pub kona, mkulima bar, toroka uje korogwe, mia7sabini nimekaa mwaka mmoja nikahamia upande wa msewe maeneo ya docha.

Hawii huwa kijiwe cha kuonea game aisei, kabla na baada ya kuungua, nataka nihamie Riverside.
 
Riverside nimeishi pia,,kuna mishikaki flani hivi ilikua inapatikana kwa mama k inn ni balaa,,pia mi casa itakua sehemu ya kuzugia ukiwa huna pakwendwa
 
Riverside nimeishi pia,,kuna mishikaki flani hivi ilikua inapatikana kwa mama k inn ni balaa,,pia mi casa itakua sehemu ya kuzugia ukiwa huna pakwendwa
Hahahah! Uko vizuri braza
 
Wadada punguzeni kujishindilia lipstick kwenye midomo yenu kama tope.

Hii imetokea week chache zilizopita jamaa mmoja alitoka kwenye mihangaiko yake huko mjini kapanda mwendokasi iliyokua imejaa kiasi,kadri inavyopita kwenye vituo ndio ilizidi kujaa kwa wale mnaoishi Dar mnajua kabisa kupanda gari za abiria kwanzia mida ya jioni ni kisanga kwenye jiji la Dar es Salam.

Jamaa hana hili wala lile kaning'inia kwenye bomba kumbe kuna mdada alipanda magomeni mwembechai akasimama mbele yake kimo chake alikua anamfikia jamaa kifuani, dada huyo alikua amejikandika lipstick za kutosha, kumbe kadri dereva wa mwendokasi anavyokanyaga break kwenye mataa na vituo kusimamisha gari ile force inampush dada kifuani kwa jamaa na anaacha mark(alama) za midomo kwenye shati la jamaa jamaa yeye hakujua wala kuona chochote hata hizo lips mark hakuziona.

Jamaa kafika Baruti kashuka kapitia gengeni kanunua matunda na zaga ndogondogo za kula nyumbani baada ya hapo akaamua kupitia bar moja hivi inaitwa Hawaii akashtue mbili tatu ndio aende nyumbani.

Kufika nyumbani mke akampokea kama kawaida gafla mke akabadilika jamaa hajui hili wala lile akapigwa swali," huyo mwanamke unaetembea nae huko kazini ni mzuri sana" basi ndio utakuja kuishi nae mimi naondoka mwanaume malaya wewe, si ungebadilisha shati kwani lazima unionyeshe unamwanamke nje bla bla bla blah mpaka penzi likafika tamati japo sio kwa siku hiyo hiyo ila hizo mark ndio zilianza kuiyumbisha ndoa.

Dada zetu acheni bana kujikandika yale madude kwanza wengine mnakua kama majini[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23]

Nimeweka picha kabisa kuepusha comments za uzi bila picha haunogi[emoji41] View attachment 784436View attachment 784438
Sipunguzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom