Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,751
- Thread starter
- #21
Si hamuelewagi mnaanzaga gubu kila siku jamaa akirudi mke anamwambia leo hajakuachia lipstick au lovebiteMahawala hao ndoa sio jambo la mchezo hamuwezi achana sababu ya lipstick tu na mtu alikuwa kwa mwendokasi