Rangi ya ch*pi

Hizi hizi hazitawasaga saga kweli?

Inaonekata iko tait, ila ya mshipi mfupi nzuri sana kwa kazi
string-elephant-ca-trompe-enormement-L-5_a3eX.jpeg

Bora hii inampa nafasi
 
Nyumba ndogo inapewa priority bwana. Katiba tupa kulee. Huyu jamaa lazma mbunge. anajidai yuko busy kumbe anamwiguku wenzie fb!
Hivi nyumba ndogo hazivai kyupi? Na zikivaa zinakuwa colourless? Au zenyewe hazisumbui usomaji wa katiba?

Hahaha tong za kiume ama Q-string hizi? Majanga!
Mwanaume akikuvalia ya blue na madoa doa ya njano inapendeza sana
(Kama akikosa ya madoa doa anaweza kuvaa ya vipepeo vya njano pia)
KAma akishindwa kunivutia kwa rangi avute kwa muundo na ubunifu.
string-homme-lateral.jpg
string-latc3a9ral-blanc.png
o-WORST-UNDERWEAR-EVER-570.jpg

Ya mshipi mrefu:
string-latc3a9ral-body-flash-1825b2.jpg
cc Kongosho na King'asti (Mnaweza waita EMT na The Boss pia, waje wapime)
 
I completely agree with you. Kwanza nitashangaa kwa nguvu mweeh. Sasa nimemuelewa Dark City mshtuko anaopata tukiongelea kubusu na kulamba miguu. Hapa na mie naukubali uzee.
Hahahahaha, najaribu kupata picha ya My Boo akiwa amevaa hii
Hakyanani tena this could be a valid reason to break up with him
cc: AshaDii
 
Last edited by a moderator:
Tupotee mara ngapi mkuu, cha kufanya ni kumuomba Mungu atutoe kwenye hili janga tu.

Nchi imemezwa na mambo ya ajabu ajabu, juzi kati amefariki Dokta bingwa wa magonjwa ya moyo His Excellence Dk. Massau aliyepigana usiku na mchana kuokoa maisha ya watanzania walio wengi enzi za uhai wake, lakini inasikitisha kuona hata media hazikucover msiba wake kiasi alichopewa muimba "mitungi mikasi".

Nakubaliana na wewe asilimia zote. Dr. Massau alikuwa mzalendo wa kweli. Aliacha kazi majuu (Texas) ili kuja kuhudumia nchi yake. Nakumbuka alikusanya vifaa vya hospitali vilivyokuwa havitumiki tena huko, huku kwetu vikiwa havijafika, akaja kuhudumia ndugu zake. Nilikuwapo aliponyanyaswa kwa kukataliwa msamaha wa kodi. alipigana hadi vikatoka, akaanza kutoa huduma kwa wanyonge ambao hawakuwa na uwezo wa kwenda India au Ujerumani. MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA HUKO ALIKOTANGULIA.
 
umeona eh? Ila kawaida wanaotangaza vyupi vya kiume ndio wako hivo

Vyupi hivyo mtu utavaaje sasa au ndio kushindana na Bikini na sisi twende na wakati?

Mimi naweza kuvaa Boxers tu hizo nyingine huwa naziona hazinipi uhuru kabisa.
 
Hayo yana thread zake, nenda huko utayakuta. hapa acha tuongelee chupi.

Mimi napenda a match na rangi ya nguo alizovaa. akishindwa hapo, basi nyeupe.


Watanzania tumefikia huku kweli? Badala ya kuwaza vitu vya maana tunaongelea rangi ya chupi!

Hoja za kujadiliwa zipo nyingi: Mtwara mambo bado mabichi, Elimu yetu inadidimia kila kukicha, Nani anang'oa watu kucha na meno, Tembo na twiga wanapanda ndege kwa passport toka wapi, Kwa nini watu wanapishana angani kama tai, Rasimu ya katiba, nk.
 
Yaani tutawaza tembo na mtwara kutwa kuchwa? Kha! Si tutashindwa kuleta hivyo vizazi vijavyo sasa? We are saving this beautiful for vizazi vijavyo sustainably. Meaning we have to live and enjoy as well.

Having said that, umevaa kyupi leo?
Cc Kongosho

i will never get tired of JF
 
Kwa kweli tong za kiume lazima ukimbie kidogo, hasa akikugeuzia mgongo

Nyumba ndogo inapewa priority bwana. Katiba tupa kulee. Huyu jamaa lazma mbunge. anajidai yuko busy kumbe anamwiguku wenzie fb!

Hahaha tong za kiume ama Q-string hizi? Majanga!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom