Kwa hapa Tanzania naona kama vile kijani na njano ndio inatawala,labda ni kwakuwa ni ranging za CCM na Yanga bingwa wa Tanzania.Kila upitapo rangi hizo zimetawala,zikifuatiwa na nyeusi,nyekundu na nyeupe
Umekosea...
Nyeupe na Nyeusi ndo rangi zinazopendwa na kutumiwa na watu wengi sana...
Angalia sare za mashuleni, ofisini, kwenye nyumba za ibada, semina mbalimbali, mavazi ya watu binafsi...
Kati ya watu 10 utakaokutana nao 6 lazima wamevaa kati ya nyeupe au nyeusi au zote...
Blue unaweza kukuta mmoja kati ya 20...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.