Rambo wa kinyakyusa....!!!

"Ndugu Zangu Watanzania, Ninaposema Nataka Tanzania Ya Viwanda Ninamaanisha Kwelikweli Maana Tuna Marighafi Na Hata Wataalamu Hususani Vijana Kama Huyu Rambo Nimesahau Sijui Anatoka Rungwe Au Kyela.
Nami Nasema Huyo Kijana Sitamwangusha, Nitamuunga Mkono Katika Maono Yake Mazuri Na Nitahakikisha Ninampa Nafasi Ya DAS Katika Halmashauri Ya Busokelo Ili Mzee Wangu Prof. Mwandosya Anitazame Vizuri.
 
Na sitamwaaaangusha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…