Lakini umeelewa sasa au sio....Nitake Radhi🤣🤣🤣
Lakini umeelewa sasa au sio....Nitake Radhi🤣🤣🤣
Nazo unalazi mkuuJe, ikiwa utalaza tofali za boma, zile za msingi zinatakiwa ziwekwe vipi?.
Kwahiyo ile nafasi inayotakiwa kuachwa pembeni ya tofali kwa matumizi mengine huwa haina ulazima tena?.Nazo unalazi mkuu
Sasa hapo mzeya ukilaza tofali za msingi na bomba sii maana yake zinakuwa flash pande zote mbili ndani na nje.Kwahiyo ile nafasi inayotakiwa kuachwa pembeni ya tofali kwa matumizi mengine huwa haina ulazima tena?.
Tofali za msingi siku zote huwa zinalazwa, option ya kusimamisha au kulaza tofali ipo kwenye boma tuJe, ikiwa utalaza tofali za boma, zile za msingi zinatakiwa ziwekwe vipi?.
Level ya floor haina shida, inatafutwa tu point moja baada ya hapo pipe level inatumika kutafuta level kwa jengo loteSasa hapo mzeya ukilaza tofali za msingi na bomba sii maana yake zinakuwa flash pande zote mbili ndani na nje.
Kuhusu jinsi ya kusaka level ya floor hiyo tumngoje engineer atueleze.
Kuna shida yoyote kama ukiamua kujaza mchanga wa kujengea kwenye msingi badala ya udongo ama kifusi?.Katika zoezi la ushindiliaji wa kifusi katika msingi, maji huwa yanatumika kwa lengo la kuondoa hewa (air voids) katika udongo, lakini maji yanapozidi kupita kiasi na kufanya udongo uloane (fully saturated), inasababisha nguvu ya msukumo wa udongo (earth pressure) katika kuta iongezeke zaidi ambapo matokeo yake unaweza ukafika site asubuhi ukakuta kuna nyufa kila mahali katika msingi (kuta).
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
Nafikiri hili swali umeuliza kimtegoKuna shida yoyote kama ukiamua kujaza mchanga wa kujengea kwenye msingi badala ya udongo ama kifusi?.
Kwa watu wote mkuuThread nzuri kwa wajenzi.
Kwa watu wote mkuu
Hapana, ni vile tu naona mchanga ni bora kuliko aina nyingine ya udongo.Nafikiri hili swali umeuliza kimtego
Shida ya mchanga huwa haushindiliki, unaweza ukaushindilia hata na compactor lakini ukichomeka hata mti, mti unaingia bila hata kutumia nguvu lakini pia punje za mchanga hazina ushirikiano (cohesion) kama ilivyo kwa aina zingine za udongoKuna shida yoyote kama ukiamua kujaza mchanga wa kujengea kwenye msingi badala ya udongo ama kifusi?.
Jibu la kitaalamu limetolewa tayari.Nafikiri hili swali umeuliza kimtego
Nime ichukua hii.
Tuwasiliane ndgNi nzuri naomba kama hyo ila iwe room mbili za kulala sitaki master bafu na njoo viwe kati ya hizo rooms za kulala.ila kuwe na bafu na njoo vinavoangalia upande WA nje.kama ulivoweka hizo ngazi hapo kwenda jikoni au sebuleni ongeza upande mmoja iwe public toilets.
Nyumba yenye vyoo kila chumba spending
Kwanza usafi nao gharama ja
Ani
Mkuu hivi mkikadiria bati kwenye makadirio hua inakua exactly?Baada ya kuweka bomba za umeme na maji (plumbing), hakikisha sehemu zote ambazo ziko wazi unaziziba vizuri kwa makaratasi wakati unanusubiria kuweka fittings zake siku za mbeleni ili kutoruhusu wadudu kama Nyoka, Tandu, Nge n.k kuweza kuingia na kuzaliana katika hayo mabomba
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane