Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,285
- 33,881
Post...Ramadan Kareem !
malipo analipwa muislam tu na wewe ili upate malipo ingia kwenye mfumo wa dini ya kislamMfano mie mkristo huwa napenda kufunga kipindi cha ramadhan mwaka wa 4 huu. Je napata baraka au nakua nakosea
Malipo mnalipwa na nani,na huyo mlipaji anachagua tu wa kuwalipa?je huyo mlipaji anahusika na Waislam tu?malipo analipwa muislam tu na wewe ili upate malipo ingia kwenye mfumo wa dini ya kislam
Kilimo...Malipo mnalipwa na nani,na huyo mlipaji anachagua tu wa kuwalipa?je huyo mlipaji anahusika na Waislam tu?
Unaboresha afya yako tu, maana Ramadhan ni kwa waumini wa dini ya kiislamu, sasa wewe kama sio muislamu hewezi pata baraka na thawabu za Ramadhan.Mfano mie mkristo huwa napenda kufunga kipindi cha ramadhan mwaka wa 4 huu. Je napata baraka au nakua nakosea
Hizo ni hadithi kama hadithi nyingine.malipo analipwa muislam tu na wewe ili upate malipo ingia kwenye mfumo wa dini ya kislam
Mfano mie mkristo huwa napenda kufunga kipindi cha ramadhan mwaka wa 4 huu. Je napata baraka au nakua nakosea
Yaani hata mkongwe kama wewe humu JF ndugu Mohamed Said unaleta habari inayohusisha ushahidi wa video au picha halafu huweki ndugu!!!!????RAMADHANI MAREKANI: TARWEH TIMES SQUARE NEW YORK
Allah Muweza.
Nani angewaza hata katika ndoto zake za wazimu kuwa ipo siku pataadhiniwa Times Square usiku wa Ramadhani na patasaliwa sala ya Tarweh barabarani huku ''neon lights'' za New York zikiwaangazia Waislam?
Times Square ni sehemu maarufu kwa watalii mfano wa Picadilly Circus, London au Tahrir Square, Cairo, au Champs Elysees, Paris.
Najiuliza kwa nini hawakusali Central Park ambayo imepakana na Times Square na ni sehemu kubwa yenye faragha kuliko Times Square au Madison Avenue ambayo ni nyuma ya Central Park.
Kwa nini wafunge barabara wasali Times Square?
Namsikiliza Imam katika hii clip.
Anasoma Ayatul Kursi.
Imam anatoa bishara gani?
Tusubiri.
Res...Yaani hata mkongwe kama wewe humu JF ndugu Mohamed Said unaleta habari inayohusisha ushahidi wa video au picha halafu huweki ndugu!!!!????
Nimeiangalia kipenz changu nashukuru