RAMADHAN: Supermarket yaamuru Wateja kuchukua vitu vyovyote watakavyo ndani ya Masaa 2. FUJO YATOKEA

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Jana nchini saudi arabia, suermarket moja imewapa OFA wateja wao kuchukua chochote watakacho ndani ya masaa mawili na kuzua mtafaruku mkubwa sana ndani ya supermarket hiyo
 
Hii video Ina zaidi ya week mtandaoni hebu acha zako basi Kama hujui,imesambaa ktk ma group mengi ya whatsap
 
Jana nchini saudi arabia, suermarket moja imewapa OFA wateja wao kuchukua chochote watakacho ndani ya masaa mawili na kuzua mtafaruku mkubwa sana ndani ya supermarket hiyo

Aiseeee ningeenda kwenye kabati la ela nikajibebea marial then niabeba mengine
 
Back
Top Bottom