Rais Samia usisite kwenye katiba usiweke siasa mbele!

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Mimi natoa ushauri kwa Raisi Samia asisite kwenye swala la katiba kwasababu zifuatazo

1. Akisita wasiopenda katiba kwa manufaa binafsi kama mzee wetu mstaafu wa awamu ya 4 watapa mwanja wa kukushauri na kuongeza uoga wako
2. Manufaa kwa nchi ni makubwa sana kuliko manufaa ya siasa mfano mambo yote ya muungano, haki za wanawake, mfumo wa serikali, uhuru wa kisiasa, mifumo inayo sikilizana, … yote haya una uwezo wa kuyatekeleza.
3. Waaamini wapinzani wana nia njema. Wapinzani hata Lissu wanajali katiba mpya kuliko ubunge na Uraisi. Usiweke uoga angalia nchi kwa ujumla wake
4. Tanzania tunashindana na nchi nyingine kwenye uwekezaji. Katiba mpya itaongeza uwekezaji kwa diaspora mfano ambao kwa sasa wanatuma $1B je waki hakikishiwa haki watatuma kiasi gani? Tujiulize na hii ni sehemu moja
5.Nchi haitatulia bila katiba mpya . Hivyo bila katiba mpya hakutaweza kuwa na utulivu baada ya 2025 huo ndiyo ukweli. Kwasasa kuna utulivu kwasababu Mbowe ana aminika na upinzani na wananchi kwa ujumla wake. Lakini msipokuwa makini mtatoa mwanya kwa wapinzani wenye misimamo mikali sana.

Nashauri uchague watu wapya kama IGP Mwema , judge Othman, Professor Assad na wengine kwenye tume ya uchaguzi na kuendesha zoezi hili.
 
Asante sana Mkuu tutamfikishia ujumbe huu Rais Wetu Mpendwa anasikiliza
 
Ushauri bora kabisa kipindi hiki cha Misiba.
 
Haya mawazo yazingatiwe na wazalendo 🤔
 
View: https://youtu.be/aGuiTB1XX_0?si=sFKk6zISM0uq2XBb
 
Back
Top Bottom