Rais Yoweri Museveni awasili nchini kwa mualiko wa Rais Magufuli

Leo Baba Jesca yuko happy na anaongea kwasauti yakunivutia. Hakuna zile sauti zakwamrisha.
I love baba Jesca and I love chadema. Tho I never liked Lowassa before or after joining cdm. But bse of Wema I will join cdm.
 
Ziara nyingi za Vihiongozi ni kubsdilishana mbinu na mikakati ya kudhibiti wapinzani kwenye nchi zao na si ziara za kupeana mikakati ya kujenga kiuchumi...
 
Nashukuru wewe ni mmoja ya watu wachache umegundua hilo
Lengo la ziara hiyo ni kutushinikiza tusaini EPA kwa kutu blackmail na pipeline la mafuta
Naomba mh Rais wetu alione hilo
Asikhbalj kusaini EPA
Wakati museveni alivoitaja kapiga makofi na big smile juu. Ila kiukweli cjamwelewa baba Muhonzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom