Rais Yoweri Museveni awasili nchini kwa mualiko wa Rais Magufuli

angeendeleza zile dharau zake za kumtuma majaliwa ingependeza sana au kwa kuwa huyu hata kisukuma anakigonga vizuri kaamua akampokee mwenyewe?
 
Ohangare museveni x2
nimekumbuka huu wimbo.

Karibu "mzei" kwenye nchi ya vi-wonder

ukija kurudi tena tutakuwa tushahamia zetu dodoma utatukuta uko.
 
Jana Mahiga alizungumzia mizigo ya Uganda kutopitia Dar es salaam
Magufuli pia alizungumzia hilo hilo na Kabila
Jamani mwambieni mkemia asiyejua biashara,kwamba mizigo inaagizwa na wafanyabiashara na sio serikali ya Uganda wala Kongo,na wafanyabiashara wanaangalia wapi ni nafuu kwao basi
Kimbelembele cha kuwakata kodi kwa niaba ya serikali zao ndicho kilichowakimbiza
Biashara sio kutafuta mkandarasi wa kujenga barabara
 
Mseveni naye ni wa kumpapatikia?nchi hii imeshapoteza dira,wametafuta kiki ya kuzima isue ya makonda wamekosa wameona wamwalike mseven bingwa la kuua upinzani ili aje awafundishe,badala utoke ukaombe hela kwenye mataifa tajiri umekaa na tauro nyuma ya kibodi unasoma unavyopondwa jamiiforum.
Nchi iko ktk hali mbaya ya njaa na mfumuko wa bei unapanda kila siku leo hii maeneo ya tegeta kg moja ya unga ni sh.2200 na kg moja ya maharage ni sh.3100 unategemea baada ya miezi mitano bei itakuwaje?
Biashara zimedoda kila mahali harafu bila busara unatoka kifua mbele unajiona bonge la raisi haha ha ha.
Kila mtanzania sasa anajisikia kichefu chefu linapotajwa jina lako,waliobaki kukusapoti bi hawa nzi wa kijani wa lumumba mtandaoni kama unafikiri nakuongopea ingia maeneo yenye mkusanyiko na biashara nyingi mtume mtu akusifie uone jinsi matokeo yatakavyokujia.
Lakini pia mimi sipendi kukulaumu sana maana wa kulaumiwa ni Jakaya kikwete sababu hata kama alichukia lowasa kuingia upinzani basi alitakiwa kutuletea hata mtu ndani ya ccm mwenye uwezo na anayeijua nchi na wananchi wanataka nini na sio kutuletea ubabe ambao hauna kichwa wala miguu,kama mbabe amuru bei za vyakula zishuke tukuone wewe ni mbabe.
Ifike mahali uachie uraisi kama unaona unashindwa maana muda si mrefu tutakuwa kama zimbabwe.
 
Mseveni naye ni wa kumpapatikia?nchi hii imeshapoteza dira,wametafuta kiki ya kuzima isue ya makonda wamekosa wameona wamwalike mseven bingwa la kuua upinzani ili aje awafundishe,badala utoke ukaombe hela kwenye mataifa tajiri umekaa na tauro nyuma ya kibodi unasoma unavyopondwa jamiiforum.<br />Nchi iko ktk hali mbaya ya njaa na mfumuko wa bei unapanda kila siku leo hii maeneo ya tegeta kg moja ya unga ni sh.2200 na kg moja ya maharage ni sh.3100 unategemea baada ya miezi mitano bei itakuwaje?<br />Biashara zimedoda kila mahali harafu bila busara unatoka kifua mbele unajiona bonge la raisi haha ha ha.<br />Kila mtanzania sasa anajisikia kichefu chefu linapotajwa jina lako,waliobaki kukusapoti bi hawa nzi wa kijani wa lumumba mtandaoni kama unafikiri nakuongopea ingia maeneo yenye mkusanyiko na biashara nyingi mtume mtu akusifie uone jinsi matokeo yatakavyokujia.<br />Lakini pia mimi sipendi kukulaumu sana maana wa kulaumiwa ni Jakaya kikwete sababu hata kama alichukia lowasa kuingia upinzani basi alitakiwa kutuletea hata mtu ndani ya ccm mwenye uwezo na anayeijua nchi na wananchi wanataka nini na sio kutuletea ubabe ambao hauna kichwa wala miguu,kama mbabe amuru bei za vyakula zishuke tukuone wewe ni mbabe.Ifike mahali uachie uraisi kama unaona unashindwa maana muda si mrefu tutakuwa kama zimbabwe.

Swelana
 
Huyu MC hapo ana sauti ya kidumme. Okello na Maiga nawaona wanatia sign
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom