Rais Yoweri Museveni awasili nchini kwa mualiko wa Rais Magufuli

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Rais Dkt Magufuli amempokea Rais wa Uganda Yoweri Museveni aliyewasili muda huu kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.

h.png

=======

Serikali ya Tanzania na Uganda zimetiliana saini mikataba ya ushirikiano wa kidiplomasia Ikulu jijini Dar es Salaam.
 
Kaja kuwachongea maofisa wa jiji la mwanza na TPA wanavyowasumbua wafanyabiashara wamahindi kutoka uganda, wakimaliza mazungumzo tegemea bei ya mahindi kushuka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom