Rais Yoweri Museveni awasili nchini kwa mualiko wa Rais Magufuli

MWAKITWINO

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
227
250
Mseveni naye ni wa kumpapatikia?nchi hii imeshapoteza dira,wametafuta kiki ya kuzima isue ya makonda wamekosa wameona wamwalike mseven bingwa la kuua upinzani ili aje awafundishe,badala utoke ukaombe hela kwenye mataifa tajiri umekaa na tauro nyuma ya kibodi unasoma unavyopondwa jamiiforum.
Nchi iko ktk hali mbaya ya njaa na mfumuko wa bei unapanda kila siku leo hii maeneo ya tegeta kg moja ya unga ni sh.2200 na kg moja ya maharage ni sh.3100 unategemea baada ya miezi mitano bei itakuwaje?
Biashara zimedoda kila mahali harafu bila busara unatoka kifua mbele unajiona bonge la raisi haha ha ha.
Kila mtanzania sasa anajisikia kichefu chefu linapotajwa jina lako,waliobaki kukusapoti bi hawa nzi wa kijani wa lumumba mtandaoni kama unafikiri nakuongopea ingia maeneo yenye mkusanyiko na biashara nyingi mtume mtu akusifie uone jinsi matokeo yatakavyokujia.
Lakini pia mimi sipendi kukulaumu sana maana wa kulaumiwa ni Jakaya kikwete sababu hata kama alichukia lowasa kuingia upinzani basi alitakiwa kutuletea hata mtu ndani ya ccm mwenye uwezo na anayeijua nchi na wananchi wanataka nini na sio kutuletea ubabe ambao hauna kichwa wala miguu,kama mbabe amuru bei za vyakula zishuke tukuone wewe ni mbabe.
Ifike mahali uachie uraisi kama unaona unashindwa maana muda si mrefu tutakuwa kama zimbabwe.
Wewe wasema
 
kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,259
2,000
Hii ziara yake amekosea timing maana watu wako busy na mambo mengine mpaka haijapewa coverage kabisa!
 
Ngamanya Kitangalala

Verified Member
Sep 24, 2012
461
1,000
Hiyo hapo ndege yake
 
Attachments

  • M7-2.jpg
    File size
    200.8 KB
    Views
    24

Gedeli

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
497
250
Mmmm!!! sasa si tunazo mbili pale terminal 1 wangemuazima moja!
mimi naomba kutoa nilicho jifunza kutokana na mseveni kuja Tanzania kwa kutumia ndege ya Kenya airways
1. kwanza siamini kuwa Rais Mseveni hana ndege ya rais
2. ninacho jua ametumia usafili huu ili kubana matumizi yasiyo na lazima hope katika shirika la ndege amekata ticketi kama abiria wengine isipokuwa ya kwake na ujumbe wake wake wakawa First class
3. Kutembeza Jet ni gharama kubwa kuliko kuchukua usafili wa kawaida naomba na serikali yetu iige huu mfano kuliko kuweka sifa wakati kodi yetu ikitumika bila mipangilio

hebu wadau tujadili na hili
 
marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
13,795

Sidhani kama alijumuika na abiria wengine, ni yeye na ujumbe wake tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom