Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 15,187
- 16,299
KweliAtazoea tu mpeni muda hata JPM mwanzoni alipenda neno mimi ni rais
KweliAtazoea tu mpeni muda hata JPM mwanzoni alipenda neno mimi ni rais
Amepigiwa Uganda na msevenMimi naona apate ziara moja aende Ughaibuni (official visit) akapigiwe mizinga 21 na heshima zote ili aongeze kujiamini na ajue kabisa ndani ya dunia hii yeye siyo wa Rais kwanza mwanamke.
Kina Queen Elizabeth wametawala dunia miaka na miaka. Majukumu mazito kuliko aliyonayo.
Ukishasema dunia ya wanaume, binafsi nasema ni makuzi: Alishajiruhusu kuwa chini ya mwanaume, nasikia ni mke wa tatu: Wa tatu! Kwa maana nyingine sehemu kubwa ya maisha yake imekuwa ni mapambano hata na wanawake wenzake.Wanawake tunajiamini sana, tatizo ni kuwa tuko katika dunia ambayo mwanamke haruhusiwi kujiamini, Mwanamke ukijiamini utaitwa majina, utapewa majina, na inafika muda utaanza kuyaamini majina hayo ndiyo majina yako. Bado tuna changamoto kubwa, na battle letu ni kubwa sana.
Mama hajayasema hayo kwa bahati mbaya, kuna chokochoko kubwa kutoka dunia ya kiume.
Ameshapata nafasi, atafanya vizuri. Ambao hawajaridhika watulie tu.
Kumbuka kuna hali tofauti kabisa kati yake na m'mke wa US. Wakati huyu anaona ni sawa kuolewa uke-wenza, kwa US hiyo ni kama ukichaa. Hivyo akina Kamala wanapokutumia salamu za pongezi, elewa pia wanakupa rating ya chini.Rais kupewa support na mwanamke mwenzake siyo jambo baya maana kumbuka tupo kwenye mission ya Beijing.
Muhimu ni kuprove kuwa anaweza kufanya vizuri zaidi.
Sasa mpaka mwanamke anakua rais wa nchi bado Tena atakua anaendelea kubeba mimba? Kwani mama samia Ana miaka mingapi Hadi aweze kubeba mimba tenaNdo imeshatokea tu lakin kuna changamoto nyingi rais mwanamke., wakati akienda kujifungua nchi itakuwa kwenye likizo mpaka amalize siku 40, akiwa mja mzito nako pia ni changamoto kuna miezi fulani pale hataweza kuwajibika sawa sawa.
UNajionea? Bado hazoei! Ni rais mwanaharakati wa jinsia, ingawa nahisi ni njia ya kuondoa presha ya maisha na ndoa yake.Atazoea tu mpeni muda hata JPM mwanzoni alipenda neno mimi ni rais
UNajionea? Bado hazoei! Ni rais mwanaharakati wa jinsia, ingawa nahisi ni njia ya kuondoa presha ya maisha na ndoa yake.
Very true nikikumbuka siku ya kuapishwa kwa Waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga taifa anadai ooh nimeamua kuondoa taboo (miiko) eti wizara hii lazima iongozwe na jitu la miraba minne ...leo nimeteua mwanamke.... yaani it seems wanaume tumemkosea na hatusitahili teuzi?With this regime, a man is an endangered specie
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na bado ngoma ndo inaanza.However not all men are the victims since the Kikwetes are now at the wheelWith this regime, a man is an endangered specie
Bila ya Mabeyo wanaume waliomzunguka wangejaribu sana kumnyanyasa. Anawafanya wafunge breki, wawe na heshima.Hata mimi hili jambo jana lilinifikirisha, nikajisemea moyoni inawezekana ndani ya Chama chake au watu walio karibu naye wanazungusha maneno kwamba hataweza kuongoza hii Nchi, nionavyo ndani ya chama kuna kila zana inainuliwa kumponda Mh. Rais, watu wa Jiwe wapo vitani muda wote, hawataki kuamini kwamba sasa keki imevunda wakae kwa kutulia.
Mama akae kwa kujiamini, aunde timu anayoiamini bila shaka yoyote, atoe takataka na chawa wote wa aliyepita, tayari anaye Mabeyo wasiwasi wa nini?
Karibu Tanzania.Kuna watu muna uvivu wa kujisomea. Mazoea ya kupewa notisi hadi chuo kikuu. Tafuta hotuba za watu wafuatao walipokuwa ktk nafasi zao za juu:
Specioza Kazibwe wa Uganda
Joyce Banda wa Malawi
Ellen Johnson
Specioza Kazibwe!!?Kuna watu muna uvivu wa kujisomea. Mazoea ya kupewa notisi hadi chuo kikuu. Tafuta hotuba za watu wafuatao walipokuwa ktk nafasi zao za juu:
Specioza Kazibwe wa Uganda
Joyce Banda wa Malawi
Ellen Johnson