Wewe ulitaka mabadiliko gani? Kura fake hukuziona? Ulichukua hatua gani baada ya kuziona? Uliingia mtaani kuandamana au ulificha hizo kende huko ndani?October 28 mlishindwa kufanya mabadiliko saivi mnakuja kulia lia hapa.
Haha mie uamuzi niliofanya ni kuhama TZ nipo napambana nchi za watu. Wewe ulichukua uamuzi gani?Wewe ulitaka mabadiliko gani?Kura fake hukuziona?Ulichukua hatua gani baada ya kuziona?Uliingia mtaani kuandamana au ulificha hizo kende huko ndani?
Mimi niko nalimia meno huku jioni nikijipooza kwa alkasusu.Haha mie uamuzi niliofanya ni kuhama TZ nipo napambana nchi za watu. Wewe ulichukua uamuzi gani?
Pambana broMimi niko nalimia meno huku jioni nikijipooza kwa alkasusu.
Mdogomdogo mkuu.Pambana bro
Mwamini Mungu acha kulialia bali mlilie Mungu atakuinua na kukuweka mahali unapopataka. Nadhani umenielewa ugumu unaotupata katika maisha chanzo chake ni dhambi tunazofanya.Mheshimiwa rais kwanza nikupongeze kwa kuchaguliwa kuongoza kwa muhula mwingine. Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akulinde, akupe hekima kama jinsi mfalme Selemani alivyoomba hekima, ili taifa hili liweze kusonga mbele. Miaka 5 umeiongoza kwa mafanikio makubwa hivyo ni matumaini yangu hii miaka 5 ijayo itakuwa yenye mafanikio zaidi.
Mheshimiwa rais, mimi ni msomi mwenye degree ya uhasibu, pia nina taaluma ya juu ya uhasibu yaani ni Certified Public Accountant (CPA). Ajira imekuwa ngumu sana, nimetafuta kazi kwa muda mrefu bila mafanikio. Umri unazidi kwenda na pia nina familia inayonitegemea.
Nimekuwa nikiendesha maisha yangu kwa tabu sana mpaka najihisi kukata tamaa. Mheshimiwa rais najua wasaidizi wako wanapitia hapa kama sio wewe mwenyewe, natumaini kupitia wao watakufikishia ombi langu, hivyo naomba unikumbuke mtanzania mwenzako. Wewe ni rais wa watanzania wote, maskini na matajiri.
Nakuomba unikumbuke mimi mnyonge ninayehangaika na maisha mheshimiwa Rais.
Natanguliza shukrani zangu za dhati na nakutakia utumishi mwema. Mungu akulinde.
Unaweza kujibu hili swali?Mheshimiwa rais kwanza nikupongeze kwa kuchaguliwa kuongoza kwa muhula mwingine. Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akulinde, akupe hekima kama jinsi mfalme Selemani alivyoomba hekima, ili taifa hili liweze kusonga mbele. Miaka 5 umeiongoza kwa mafanikio makubwa hivyo ni matumaini yangu hii miaka 5 ijayo itakuwa yenye mafanikio zaidi.
Mheshimiwa rais, mimi ni msomi mwenye degree ya uhasibu, pia nina taaluma ya juu ya uhasibu yaani ni Certified Public Accountant (CPA). Ajira imekuwa ngumu sana, nimetafuta kazi kwa muda mrefu bila mafanikio. Umri unazidi kwenda na pia nina familia inayonitegemea.
Nimekuwa nikiendesha maisha yangu kwa tabu sana mpaka najihisi kukata tamaa. Mheshimiwa rais najua wasaidizi wako wanapitia hapa kama sio wewe mwenyewe, natumaini kupitia wao watakufikishia ombi langu, hivyo naomba unikumbuke mtanzania mwenzako. Wewe ni rais wa watanzania wote, maskini na matajiri.
Nakuomba unikumbuke mimi mnyonge ninayehangaika na maisha mheshimiwa Rais.
Natanguliza shukrani zangu za dhati na nakutakia utumishi mwema. Mungu akulinde.
Kupanda kwa vitu kunasababishwa na principle ya demand and supply. Demand ikiwa kubwa wakati supply ni ndogo bei lazima ipande. To put things in nutshell uzalishaji wa hizo bidhaa kwa Tanzania ni mdogo. Kungekuwa na oversupply ya hizi bidhaa bei ingekuwa ya chini.Unaweza kujibu hili swali?
Habari za Leo wakuu,
Sisi kama wanasiasa na viongozi wa Serikali watarajiwa naomba tujadili sababu za kiuchumi zilizo pelekea bei ya cement na sukari kupanda.
Na pia tujadili possible economic solution za hili tatizo.
Nawasilisha
Kama kuna sababu za kiuchumi unazijua tafadhari ziandike hapa ili Tusaidie taifa letu badala ya kutoa lawama.
Hapo mwisho sidhani kama iko sawa. Maisha yana seasons tu, kuna wakati utapitia magumu na kuna wakati utapita kwenye neema iwe ni mtenda dhambi ama laa.Mwamini Mungu acha kulialia bali mlilie Mungu atakuinua na kukuweka mahali unapopataka. Nadhani umenielewa ugumu unaotupata katika maisha chanzo chake ni dhambi tunazofanya.
Pole sana mkuu.Mheshimiwa rais kwanza nikupongeze kwa kuchaguliwa kuongoza kwa muhula mwingine. Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akulinde, akupe hekima kama jinsi mfalme Selemani alivyoomba hekima, ili taifa hili liweze kusonga mbele. Miaka 5 umeiongoza kwa mafanikio makubwa hivyo ni matumaini yangu hii miaka 5 ijayo itakuwa yenye mafanikio zaidi.
Mheshimiwa rais, mimi ni msomi mwenye degree ya uhasibu, pia nina taaluma ya juu ya uhasibu yaani ni Certified Public Accountant (CPA). Ajira imekuwa ngumu sana, nimetafuta kazi kwa muda mrefu bila mafanikio. Umri unazidi kwenda na pia nina familia inayonitegemea.
Nimekuwa nikiendesha maisha yangu kwa tabu sana mpaka najihisi kukata tamaa. Mheshimiwa rais najua wasaidizi wako wanapitia hapa kama sio wewe mwenyewe, natumaini kupitia wao watakufikishia ombi langu, hivyo naomba unikumbuke mtanzania mwenzako. Wewe ni rais wa watanzania wote, maskini na matajiri.
Nakuomba unikumbuke mimi mnyonge ninayehangaika na maisha mheshimiwa Rais.
Natanguliza shukrani zangu za dhati na nakutakia utumishi mwema. Mungu akulinde.
Ongezea na pont ya kodi muhasibu mwenzangu....Kupanda kwa vitu kunasababishwa na principle ya demand and supply. Demand ikiwa kubwa wakati supply ni ndogo bei lazima ipande. To put things in nutshell uzalishaji wa hizo bidhaa kwa Tanzania ni mdogo. Kungekuwa na oversupply ya hizi bidhaa bei ingekuwa ya chini.
Asante sana mkuu. Kuna muda unafikiria hata kupotea tu isijulikane hata umekwenda wapi. Ukifumba macho unaona giza nene mbele yako and feels like no body cares about you.Pole sana mkuu.
I know how it feels kuwa na familia na usiwe na shughuli ya kukuingizia kipato kudumu kuiendesha familia. Ila jipe moyo, ni swala la muda, Mungu atakusaidia.
Kuna jamaa nilikutana nae 2015, alikuwa ametoka soma masters ya mambo ya IT. Hakuwa na kazi, aliyokuwa anafanya mwanzo ilikuwa ya mkataba, alienda kusoma baada ya kumaliza. Alikuwa na wakati mgumu sana, he struggled for three years. Kuna siku alimwaga machozi mbele yangu akanambia "mdogo wangu(amenizid miaka 11) nna wakati mgumu sana, natamani hata kuikimbia familia, sistahili kuishi hivi kwa elimu niliyonayo." That day mtoto alikuwa anaumwa, inahitajika kama 350k afanyiwe upasuaji na hata 10k hana, I gave it to him.
2018 akapata kazi, sasa hivi amesahau yote alopitia and he is doing well in his life. Yanapita tu hayo mkuu, kwa wakati huu omba Mungu akupatie watu ama mtu wa kushikana na wewe. Sijui imani yako ila just pray a simple prayer that God raise someone in these trying times you are going through.
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako. Lakini nadhani kuweka CV hapa JF sio ustaarabu kidogo. Pia sijalimit msaada, mtu yoyote atakayeguswa nitashukuru mno kama atanisaidia. Anaweza kunicheck pm na nikampa details zangu zote.Mkuu ungeweke cv yako vzuri ili kama kunamwingine anakuona na anamoyo wa kukusaidia anaweza kukusaidia na sio lazima akusaidie huyo uliyemtarget
I know. Just hold on. Better days are coming. Mungu ni wetu soteAsante sana mkuu. Kuna muda unafikiria hata kupotea tu isijulikane hata umekwenda wapi. Ukifumba macho unaona giza nene mbele yako and feels like no body cares about you.
Kwa sasa yameongezeka na mafuta ya kula.Kupanda kwa vitu kunasababishwa na principle ya demand and supply. Demand ikiwa kubwa wakati supply ni ndogo bei lazima ipande. To put things in nutshell uzalishaji wa hizo bidhaa kwa Tanzania ni mdogo. Kungekuwa na oversupply ya hizi bidhaa bei ingekuwa ya chini.