Rais wangu Edward Lowassa, wish u all the best, wewe ni jembe

Rais wangu Edward Lowassa, wish u all the best, wewe ni jembe

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,027
Reaction score
38,376
Wakati mwingine unatamani kuwaza oct mbona aifiki jaman jamani??

MUNGU N.MWEMA FADHILI ZAKE N ZA MILELE WAKATI MUAFAKA WA MUNGU KUTUPA RAIS MWENYE UTHUBUTU

MWENYE UWELEWA

MWENYE MAAMUZI MAGUMU

MWENYE UCHUNGU NA WATANZANIA..TUMECHOKA KUITWA MASKINI KILA SIKU JAMANI..EMBU MCHAGUENI HUYU RAISI WETU TUPATE MEMA YA NCHI..NCHI.N YWANADAMU NA MBINGU N ZA BWANA
 
Pdidy

Over nakuona unavyokufa na tai shingoni.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Pole sana maana haujitambui, muda wote ambao umetumia kuweka bandiko hili ungekuwa unasoma miswada ya gesi na petrol...
 
Last edited by a moderator:
Lowasa ni jembe , embu ukipata muda sikiliza ile clip ya kujiuzuru kwake alafu uniambie ni watu wangapi wenye ujasiri wa kusema maneno kama yale kwa wakati ule.This man is strong aisee.
 
Nimejiandiksha leo. Hilo jembe lako ni buutu. Ndooo robo wewe. Si likalime huko kijijini kwenu?
 
Nimejiandiksha leo. Hilo jembe lako ni buutu. Ndooo robo wewe. Si likalime huko kijijini kwenu?
E
nbulula lowassa n.jembe nakwambia ana miaka miwili kazi alizofanya kama amekaa miaka 6
 
mjiandae kwenda kwenye makazi yenu ya kudumu ICU kuanzia tarehe 12.07.2015 mamvi atakufa mwaka huu
 
Onananaaaaa onananaaaa eehee
 
Pdidy

Inasikitisha sana kama mtanzania ambaye anajua tekinolojia na utashi wa mambo mbali mbali kumpigia debe fisadi mwenye kashfa kama Lowasa,je wazee wetu waliopo vijijini watafanyaje?
 
Last edited by a moderator:
Imekula kwenu.mwakahuu someni nyakatii tuache umbulula....
 
Back
Top Bottom