Rais wa Zambia, Hichilema aalikwa Ikulu ya Marekani

With your knowledge of international diplomacy being almost zero unahisi kualikwa ikulu ya Marekani ni kitu kidogo. ... connection za biggest investors ndo zinaanzia huko.... dunia ni kijiji kwa sasa!!!
Na akifanikiwa kuwaleta ha biggest investors mtasema kaleta wanyonyaji, wapiga madili, kapokea 10% ili mradi ht hamweleweki mnataka nini kwa kweli
 
Labda kwa uhuni huu wanaoita uchaguzi, wanaandaa, kusimamia na kujitangaza wenyewe "washindi" kwa mtutu wa bunduki. Ccm iliishakufa kitambo hakuna chama pale. Very hopeless.
Tanzania kuna upinzani uchwara hawana uwezo wa kupata Kura nyingi.hakuna upinzani wa maana Tanzania
 
Tanzania kuna upinzani uchwara hawana uwezo wa kupata Kura nyingi.hakuna upinzani wa maana Tanzania
.......Na ndio ccm wanaogopa kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi piga ua watahakikisha kwamba wao ndio wanaunda hiyo tume na kila uchaguzi ni wizi, uhuni na uporaji wa kura dhidi ya "Upinzani Uchwara". 😁😁

Siku hizi polisi ndio wamegeuka ccm huku ccm yenyewe ikiwa haipo ilisha kufa kitambo.
 
Kuna post humo anasifiwa kwa kuhutubia UN wa TZ bana aibu gani hii,shida kuu ni elimu yetu tu.
Labda niwahoji swali dogo, hivi lengo na madhumuni ya kikao hicho yalikuwa ni yepi? Je, lengo lilikuwa kuhudhulia kikao cha umoja wa mataifa na kutoa hotuba au viongozi wa Kiafrika kujikusanya kwenye lango la White House kungojea kama watabahatika kuitwa kwenda kukutana na Biden na makamu wake Bi Harris - tatizo kubwa la mind sets za waswahili tuna husudu sana watu weupe - yaani mnashindwa hata kupongeza hotuba nzuri na yenye mshiko iliyo tolewa na Madam President (SSH) in a very refined English - sasa jaribu kulinganisha hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassani na hotuba ya Biden - nani zaidi? Jibu unalo.

Zungumzeni ni nini lilikuwa lengo na madhumuni ya kikao cha UN cha hapa juzi, achaneni kupoteza muda mwingi mkibeza beza Marais ambao hawakualikwa kwenda White House/Congress kupewa somo kuhusu ubaya wa ujio wa Wachina Barani Afrika na jinsi/mbinu za kuwatosa Wachina na kukimbilia Wazungu specifically USA!! Pamoja na political rhetoric za kuwananga Wachina, binafsi naona ni suala la muda tu kabla Hichilema na wenzake hawaja kimbiza bakuli LA kwenda kuomba msaada kutoka Uchina kama watangulizi wake - tatizo kubwa barani Afrika linatokana na baadhi ya viongozi wa Afrika kuwa highly unpredictable kama tidal waves za Tsunami, sasa viongozi kama hao ni rahisi kulubuniwa wakajikuta wana fanya mambo ya ndio sivyo katika harakati zao za kutaka kujipendekeza/kuwafurahisha wazungu.
 
Back
Top Bottom