Averoes
JF-Expert Member
- Jan 30, 2014
- 986
- 513
Wewe ndo ujui serkali yako inaendshwaje nenda apo kw kenytta uone mtoto wa mwasisi kafanyiwa nni na mahakma huru ingekuwa apa tz mhhhhh .Hujielewi wewe
Kenya wamevunja rekodiWewe ndo ujui serkali yako inaendshwaje nenda apo kw kenytta uone mtoto wa mwasisi kafanyiwa nni na mahakma huru ingekuwa apa tz mhhhhh .
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu kwa kuwakilisha,hata Mimi ningependa kujua sifa zinazotumiwa na rais kuwàjua hao watanzania wanyonge ili nàmi nijipime kama nipo kwenye hilo kundi la wanyonge ama laaHizi kwangu mimi naziona kama ghiliba,kama kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa!
Kutuita watanzania wanyonge watanzania masikini ni kutukejeli! Watanzania sio wanyonge bali ni wavumilivu na watu tunaoheshimiana.
Tunakutaka usituite wanyonge,huku ukitubomolea makazi yetu tena kwa kukiuka agizo la mahakama.
Unatuita wanyonge huku ukikataa kutuletea katiba mpya itakayo wawajibisha wapindisha haki na mafisadi wote wa serikali yako!
Unatuita wanyonge huku ukituingiza kwenye hasara kubwa kwa kukiuka naagizo ya mahakama.
Unatuita wanyonge huku ukitupiga danadana kuwaongeza mshahara wafanyakazi
Unatuita wanyonge huku ukiruhusu makampuni yapoteze ajira kwa watu wako kwa kushindwa kujiendesha
Hili jina la Watanzania wanyonge tunaona linatumika kujinufaisha kwa baadhi ya viongozi kujiona miungu watu. Tunaomba likome
NDIO MIMI NI MBOVU WA MGUU LAKINI SIKO TAYARI KUITWA KILEMA
FactYaani kwwny hizi comments za watu ndonimeamini watanzania bado sana ndomana tunaonewa kila kukicha,,tukidai haki zetu tunakandamizwa,,,yan mtu anatoa mtazamo wake sisi sio wanyonge bali wavumilivu na wastaarab lakin cha ajab mijinga humu ndani inamshambuliaa kama akina kanyinya upuuzi mtupuu
Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
Anawapigania wanyonge ili iweje wakati waliofanikiwa anasema hawataki. Nadhani anawapenda wanyonge kama mapenzi yake sio anataka wafanikiwe.Kwanza ni hatari sana mtu kuitwa mnyonge na maskini na we we unayeitwa hivyo ukawa unachekelea.(maana yake ni kuwa unaukubali unyonge na umaskini hivyo itakuwa ngumu sana kutoka hapo)
Pia sijawahi kumsikia rais akiwaongelea kwa wema matajiri,yeye kila tajiri kwake ni fisadi,na bahati mbaya sana hao anaowaita maskini na wanyonge wanaamini hivyo hivyo kama kiongozi wao anavyo amini jambo ambalo si kweli.
Tuukatae maskini na unyonge kwa nguvu zote sababu unyonge na umaskini si utakatifu
....Hujielewi wewe