Rais wa wanyonge, wanyonge wapi?

Rais wa wanyonge, wanyonge wapi?

FB_IMG_1504503412971.jpg

Lubuva utaishi milele??????????
 
Tuna Rais wa wanyonge ki kwelikweli. Ukiwa mnyonge haimaanishi usiheshimu taratibu na sheria za maeneo unayotafuta riziki yako. Wapo wanyonge wengi wanaendelea kuziona juhudi za Rais katika kuwatumikia na kuboresha maisha yao. Kama unabisha waulize wakulima wa Korosho huko Mtwara, Waulize Wanafunzi wa Udsm waliokuwa wanalipa kodi ya pango laki 4 kwa miezi 4 tu.
 
Nimiaka miwili tu, tushazisoma namba zote, mpaka 2015 tarakimu zote zitakua zishasomwa, ila tuliyataka wenyewe tuvumilie
 
Tuna Rais wa wanyonge ki kwelikweli. Ukiwa mnyonge haimaanishi usiheshimu taratibu na sheria za maeneo unayotafuta riziki yako. Wapo wanyonge wengi wanaendelea kuziona juhudi za Rais katika kuwatumikia na kuboresha maisha yao. Kama unabisha waulize wakulima wa Korosho huko Mtwara, Waulize Wanafunzi wa Udsm waliokuwa wanalipa kodi ya pango laki 4 kwa miezi 4 tu.
Ha!ha! Just ha!ha!

Majibu mepesi kwa maswali mazito
 
Wanyonge wa Lumumba
Leo Ukawa (kama bado ina exist) wamenasa kwenye mtego! Kitendo cha kuwasusia wabunge wenzao wa upinzani ni kutangaza kutohitaji nguvu yao. Matokeo yake wanajenga upinzani uliogawanyika. Ngome iliyogawanyika haisimami.
 
haa haaa hili neno wanyonge linatumika na wanasiasa walioshindwa kuwatumikia wananchi. mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ubaguzi mtupu halafu mtu anajiita rais wa wanyonge.
 
Leo Ukawa (kama bado ina exist) wamenasa kwenye mtego! Kitendo cha kuwasusia wabunge wenzao wa upinzani ni kutangaza kutohitaji nguvu yao. Matokeo yake wanajenga upinzani uliogawanyika. Ngome iliyogawanyika haisimami.
mkuu wale sio wabunge wa upunzanj. wale ni wabunge wa ccm kupitia cuf.
 
Tuna Rais wa wanyonge ki kwelikweli. Ukiwa mnyonge haimaanishi usiheshimu taratibu na sheria za maeneo unayotafuta riziki yako. Wapo wanyonge wengi wanaendelea kuziona juhudi za Rais katika kuwatumikia na kuboresha maisha yao. Kama unabisha waulize wakulima wa Korosho huko Mtwara, Waulize Wanafunzi wa Udsm waliokuwa wanalipa kodi ya pango laki 4 kwa miezi 4 tu.

NGOJA NIWEKE TUSI LANGU AKIBA
 
Bei ya sukari ilipopanda kutoka 1,800 mpaka 2,200 vyombo vya habari na wanasiasa walikuja juu sana kupinga. Kwa sasa bei ya sukari imepanda mpaka 3,300 hakuna anayenyanyua mdomo kulisemea. ukisema tu unawekwa ndani unapimwa mkojo na kama ni gazeti linafungiwa. Hawa waandishi nguli akina Pasco Mayalla hili hawalioni kweli? au ndo kutwa kukesha kumsifia mtukufu ili wateuliwe?
 
rais anashindana kuonesha jinsi gani alivyo mtata

hajui kiti cha urais anachotumia vibaya ndo kinamfanya aonekane mbabe, akitoka hapo mwepesi kama bashite
 
Leo Ukawa (kama bado ina exist) wamenasa kwenye mtego! Kitendo cha kuwasusia wabunge wenzao wa upinzani ni kutangaza kutohitaji nguvu yao. Matokeo yake wanajenga upinzani uliogawanyika. Ngome iliyogawanyika haisimami.
Mbona umejitoa akili kiasi hicho?

Ukawa Lipumba yumo?

Au unaongea vitu ambavyo huvielewi?
 
Back
Top Bottom