Rais wa Ukraine awaambia NATO: 'Hii yaweza kuwa mara yenu ya mwisho kuniona nikiwa hai!'

Jamaa anafanya proganda kwa kiasi flani, kwani Ukraine ndiyo nchi pekee jirani na Rusia ambaye akitaka kujiunga na NATO?

RUSIA amekosea sana kumvamia Ukraine kwa ukweli, wakija kufanya analysisi wanaitangazia dunia kua walikosea sana.
Na wewe tukuuulize kwa nini NATO miaka na miaka inaikomalia UKrain na sio Nchi zengine zilizojirani na Urusi
 
Hapa kuna mawili;
1. US & NATO wanamwandalia Russia bonge la surprise.

2. US & NATO wanapoteza utawala wao Duniani.
I daubt of no 1 is gon' be happening so sooner. Kwa jinsi nilivyomsikiliza rais wa Ukraine hotuba yake ya mwisho Ulaya na Marekani (NATO) imewapa nguvu kutoka katika "huruma"
 
He is just greedy for power….Baada ya hapa atawatafuta wengine anaopakana nao wanyonge arudishe tena U.S.S.R .Kwaio China naye Aivamie Taiwan akitoa sababu kwamba Marekani atajiattach .Au Marekani naye amvamie Mexico kwasababu kama za putin?
Acha ulongo
 
Mkuu vipi zile zilizopigwa kwa kutuaminisha dunia nzima kuwa Saddam ana silaha za maangamizi, halafu walivyokwisha muua na kuiharibu Iraq hazikuonekana silaha hizo?
Watu wanadouble standard hadi sio poa yaan wakipigwa na kuuawa middle east mnaona sawa ila wazungu ndio mnajali ...eeehhh huu uharibifu hapo chin alifanya nani???
20220224_140233.jpg
 
Dah ila jamani yaani hata huzuni hamsikii kwa jinsi rais Zelensky anavyoongea kwa huzuni?

Jaalia wewe mshikaji wako kakupigia simu tena ni video call halafu akueleza huenda hii ndio mara yako ya mwisho kumuona akiwa hai.
Gadafi pia aliongea kama hivyo wamarekani wabuza wakamcheka, leo haohao wanajitia kukerwa si unafiki huu
 
The Taliban is closely following the military conflict between Russia and Ukraine and calls on the parties to dialogue. The Taliban authorities called on the warring parties to resolve the conflict by peaceful means. https://t.co/wcRCQdliNO
 
I daubt of no 1 is gon' be happening so sooner. Kwa jinsi nilivyomsikiliza rais wa Ukraine hotuba yake ya mwisho Ulaya na Marekani (NATO) imewapa nguvu kutoka katika "huruma"
Basi Magharibi wamepoteza utawala wao Duniani.
Baada ya kushindwa kumng'oa Assad, Afghan na kwa jinsi walivyoruhusu Ukraine kuvamiwa hakuna wa kuwaamini na kuwaelekea Westerners.
Taiwan wajisalimishe Beijing mapema.
 
Back
Top Bottom