Rais wa ufaransa na mkewe

Sasa kadogoo kange mfikisha wapi?huyo mama ana hekima na kijana full force ambitious, a perfect match!
aaah hamna chemistry hapo mkuu mi nahisi ana nyumba ndogo
na mapaparazi wazungu walivyo wambeya watayafukua tu makaburi yake huyo prez
 
Huyu mama itakua ni Jasusi sio bure hata ukute mafanikio ya huyu jamaa yametokana na huyu mama
 
Mi kwangu miaka ni number! Kitu brains au mr Pesa! Duh kumbe we wa Tandale! Mtu me aasalale!
hahaha
ila kweli wanawake mnapenda pesa, pesa si mtatafuta wote tu mkishapendana!?
yes, mbona sina hata kiashiria kimoja cha kuishi first world!
 
umehit point
 
mkuu labda ulinukuu vibaya katika quran wala hadithi hakuna hayo maandiko
japokuwa Mtume (s.a.w) alimuoa bi khadija (r.a ) wakiwa na miaka 25 na 40 respectively
 
It's a wonderful world indeed
 
Marehemu Dr Remy Ongala
Alituachia Wimbo Murua Sana
"""Kipenda Roho"""

Mwenye Audio Atuwekee
 
Hapana kabisa, lazima limbwata limeshafika ulaya. Swali ni nani alilifikisha mbwata ulaya!!?
 
Hapana kabisa, lazima limbwata limeshafika ulaya. Swali ni nani alilifikisha mbwata ulaya!!?
 
Kumbuka Camila na Lady Diana! Charles hakuweza mikiki ya Diana! Kweli duniani tunatofautiana
ni kweli mapenzi ni kitu cha ajabu ndo mana hakuna propper definition ya neno hili
hadi kesho najiuliza Prince charles alipewa nini na Camila?hadi akawa hamtaki diana
tusimhukumu sana macron hatujui anapewa nini
 
Machale ya kuitwa 1st lady yalimcheza bibie. Ana hisia 15 za ziada.
 
hahaha
ila kweli wanawake mnapenda pesa, pesa si mtatafuta wote tu mkishapendana!?
yes, mbona sina hata kiashiria kimoja cha kuishi first world!
Sijui kama ni wanawake wote wanapenda pesa. Mimi naamini kwamba kama unapenda kitu ni shurti ukitafute Mwenyewe, mimi naipenda sana sana Pesa, shkamoo pesa, naitafuta mwenyewe na mwenzangu pia awe motivational au awe nayo!
 
ni kweli mapenzi ni kitu cha ajabu ndo mana hakuna propper definition ya neno hili
hadi kesho najiuliza Prince charles alipewa nini na Camila?hadi akawa hamtaki diana
tusimhukumu sana macron hatujui anapewa nini
Ewah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…