Wanted!Bado na Polepole atakaribishwa Ikulu
Alafu mie eti niandamane. Alafu eti yule wa USA aniambie mie wa TZ niandamane. Alafu eti yule wa Arusha aliekimbiza familiar yake Canada anidanganye mie niandamane. Alafu eti yule mwenye mke na watoto wake wapo Ubelgiji waniambie mimi niandamane. Alafu eti yule Wanairobi ambaye hata mazishi ya baba yake aliyefariki bongo hakuhudhuria maziko aniambie mie niandamane. Arafu eti yule Mchungaji aliyetuambia sisi wa Kawe tutapelekwa Birmingham aniambie niandamane. Arafu eti yule balozi aliyeshiriki kuwanunua akina Katambi, Gekuru wa Babati, Nasari, Dr Mashinji, Dr Molel, Mtolea, Mtatiro leo aniambie niandamane. La hasha abadan sijaingia mtego huo.Leo Nimefika Ikulu CHAMWINO kuwasilisha Majumuisho ya wadau na tulipata nafasi ya kuzungumza na Kumueleza Mh.Rais wa Jamuhuri ya Muungano kuhusu Utawala Bora,Haki za kushiriki katika chaguzi za kidemokrasia, Masuala ya Utekwaji na enforeced Disappearance , Kuhusu Umuhimu wa kuwa na chaguzi zinazozingatia haki za wananchi kupata,Watu na wagombea kutokuondolewa kwa kukatwa kwa masuala ya kiufubdi na Maeneo yenye kuhitaji maboresho ili kuwa na uchaguzi mzuri ulio Huru na wa Haki ili kuoata viongozi wanao wataka kupitia sanduku la kura.
Mh.Rais Ametusikiliza na kuahidi kuangalia namna bora ya Kufanya kwamambo yatakayowezekana kwa muda uliopo na kuboresha ili kuwa na Uchaguzi huru na Haki na kuondoa kadhia ya kutoa wagombea kwasababu za kiufundi.
Aidha kwa kuwa kulikuwa na Mapendekezo ya Muda mfupi,Muda wa kati na Muda mrefu ameahidi kuyapitia yote na kuona namna bora ya kuyatekeleza.
BAK Mwabukusi.
Alafu mie eti niandamane. Alafu eti yule wa USA aniambie mie wa TZ niandamane. Alafu eti yule wa Arusha aliekimbiza familiar yake Canada anidanganye mie niandamane. Alafu eti yule mwenye mke na watoto wake wapo Ubelgiji waniambie mimi niandamane. Alafu eti yule Wanairobi ambaye hata mazishi ya baba yake aliyefariki bongo hakuhudhuria maziko aniambie mie niandamane. Arafu eti yule Mchungaji aliyetuambia sisi wa Kawe tutapelekwa Birmingham aniambie niandamane. Arafu eti yule balozi aliyeshiriki kuwanunua akina Katambi, Gekuru wa Babati, Nasari, Dr Mashinji, Dr Molel, Mtolea, Mtatiro leo aniambie niandamane. La hasha abadan sijaingia mtego huo.