Rais wa nchi analipwa shilingi ngapi kwa mwezi?

Mshahara kuwa kiduchu hy haihusiani na maendeleo ya nchi, anyway ww pigia hesabu rais anakunja 100m+ per month mshahara + marupurupu
 
Hayati alisema mshahara wake alikuwa akilipwa milioni 9. Wakati huo huo katika moja ya hotuba zake akasema anamlipa mkurugenzi wa TRA milioni 15. Hapo ndio alinichanganya sana kwa sababu niliona kama hesabu imegoma kuhesabu.

Yaani kijakazi analipwa pesa ndefu kuliko bosi.
 
Huyu hayati wenu punguani mwongo sana .
Milioni 9 inamaa mawaziri wote walikuwa wanampita kimaslahi?
Mkurugenzi wa TPDC alikuwa anampita?
Kamishna wa Ngorongoro alikuwa anampita?
Yule Jamaa alijua sana kucheza na akili za malofa.

Wala hakuchanganya habari. Nchi nyingine,utaambiwa raisi katoa nusu ya mshahara wake. Kwani hata akifanya kazi bure unadhani ana hasara? Kila kitu serikali inagharamia.
-Makazi ni serikari,
-Bills zote unazozijua ni mapato,
-Ulinzi,usafiri,starehe za hapa na pale,
Si dhalau! Lakini uulizie presidential suites kwenye Hotel zenye vyumba vya kulala marais,wanatumia kiasi gani. Usiku 1 tu,utakuta ni zaidi ya mshahala wake.
Sema tu, connections anazokuwaga na zo,wanauhitaji madili,na vingine vingi.
Jiulize,akimaliza mda wake,walinzi,magari,madereva,nyumba, jamani. Apewe nini!

Uraisi si kazi, ni cheo.
 
Huyu hayati wenu punguani mwongo sana .
Milioni 9 inamaa mawaziri wote walikuwa wanampita kimaslahi?
Mkurugenzi wa TPDC alikuwa anampita?
Kamishna wa Ngorongoro alikuwa anampita?
Yule Jamaa alijua sana kucheza na akili za malofa.
Ndo akili zako zinavyokutuma. Unakataa nini sasa? Traffic Polisi wanalipwa sh ngapi? Je,unajua kiasi kinachopita mikononi mwao kwa siku?
Raisi anateuliwa tuuu,haajiliwi. Kuzidiwa mshahara na mtu,hakuzuii kumzidi maendeleo na kipato.
 
Mshahara kuwa kiduchu hy haihusiani na maendeleo ya nchi, anyway ww pigia hesabu rais anakunja 100m+ per month mshahara + marupurupu
Hii 100M,ni kama kuulizia buku kwa mama ntilie. Usione watu wanauana,kile kiti kitu kingine aise. Uislam unamruhusu mwanamke kuongoza wanaume? Lakini ilikuwaje!!!
Unaweza kuta tu mtu kuonana nae, $ zilishasoma. Wale hawaishi kwa shilingi aise.
 
Back
Top Bottom