You have raised questions which frankly showcased how myopic you are!
Inawezekana ukaambiwa unakwenda kasi sana spidi ya 160 km/hr punguza kasi, utaua watu, ukasimamisha kabisa gari, ukalalamikiwa kwamba umesimamisha gari, watu hawatafika wanakoenda.Watanzania ni wanafiq sana aisee..nakumbuka baadhi ya watu walitoa mfano et BARRACK OBAMA hakwenda kwny msiba wa MICHAEL JACKSON ingawa anajulikana dunia nzima...wakamponda KIKWETE kwenda kumzika mtangazaji wa Radio tanzania(TBC)..RESTITUTA BUKORI..watu walimponda sana KIKWETE aisee..sisi watanzania ni watu wa ajabu..tunabadilika kama vinyonga vile..tuna ndimi mbili..this is too bad!!!
Hicho Kikwete alichomzidi Magufuli sio kidogo, UKARIMU unabeba na tabia nyingine nyingi njema . .Haya mambo ya kusema watu wachache.ndo kuchukuliwa kama kauli ya watanzania.sio sahihi.niliwahi kusema kikwete anamzidi magufuli kitu kidogo sana UKARIMU.
LogicInawezekana ukaambiwa unakwenda kasi sana spidi ya 160 km/hr punguza kasi, utaua watu, ukasimamisha kabisa gari, ukalalamikiwa kwamba umesimamisha gari, watu hawatafika wanakoenda.
Inawezekana hapo katikati kuna speed nzuri ambayo haihatarishi watu na pia itawafikisha safari.
Inawezekana hapo katikati kuna speed nzuri ambayo haihatarishi watu na pia itawafikisha safari.
Simiyu yetu hajawahi kuwa mtu wa maana tangu nimfahamu . .Simiyu yetu bila shaka nawe ni Mtanzania, hongera kwa kuwa kiumbe wa ajabu
Ni kweli CCM inatugeuza kama chapati, kama ilivyofanya kule Zanzibar . .Unyumbu ni kazi sana.
Ndio maana ccm inawazungusha na kuwageuza kama chapati!
Nchi inaangamia kwa kuendelea kuikumbatia ccm, wewe unasema "watapigwa hao . . " as if wewe ni mkenya . . !2020 itafika na uchaguzi watashiriki kama kawaida halafu baadaye watailaumu tume ya uchaguzi kuwa si huru ilhali walikubali kushiriki huku wakijua jinsi tume ilivyo.
Sasa hivi washaanza kuimba eti Tundu Lisu 2020.....
Ila huwasikii wakitilia mkazo tume huru ya uchaguzi sasa hivi. Sasa hivi wanadandia dandia vijitukio tu....mara Bashite...mara Gwajima...mara Kinana [eti sasa wako so concerned na well being ya Kinana....Katibu mkuu wa CCM]...mara sijui Lema kanyimwa kuongea....mara Roma Mkatoliki....ujinga ujinga tu.
2020 watapigwa tena hao.....watch this space.
Nchi inaangamia kwa kuendelea kuikumbatia ccm, wewe unasema "watapigwa hao . . " as if wewe ni mkenya . . !
Pole yenyewe ni ile kuwaambia," ukimwi nyie, katerero nyie, mwafaaa"? Au pole ipi hiyo aliyotoa Bukoba?Wabongo bana...mlisema ya Bukoba kwenye tetemeko na mwisho wa siku Rais mkamsikia yupo kule akitoa pole.leo mmeanza tena.kweni hauoni katuma muwakilishi tena makamu wake?na pole yake ameitoa,waTanzania kwa kulalama sijui tukoje
Nyani Ngabu uko too defensive kwenye ulichokiandika,
Otherwise ukiruhusu akili yako Kuwa Huru utaelewa Kuwa Kuna ninapoungana na wewe na Kuna ninapotofautiana nawe.
Unapo refer "Rais wa Misiba" argument's ni kama unahalalisha Kuwa Kwa Kuwa yule alienda sana na akaitwa "wa Misiba" basi ni sahihi huyu kutokwenda.
Jambo ambalo nimelipinga na nime declare Kuwa Mimi ni miongoni mwa tuliomuita yule "Rais wa Misiba" kutokana na hulka yake iliyopitiliza kushiriki Misiba ya ndani na ya nje iwe mikubwa au midogo jambo ambalo lililigharimu Taifa as you know kwamba akienda yeye huambatana na msururu wa Watu protocol inataka hivyo.
Nilichokubaliana na wewe ni Kuwa ni sahihi kwamba Rais huyu Alipaswa kushiriki Misiba ya Kitaifa iliyotokea Ule Wa Maaskari wetu na Huu wa Watoto wetu kwani Yeye ndiye Mfariji wetu Mkuu.
Nawasilisha.
Alijua Lowassa Angehudhuria Alijua Lowassa angeshangiliwa, He can not stand mtu mwingine anapewa sportlight mbele yake. Hiyo ndio sababu akaingia Mitini anajua Alipokonya Urais wa Lowassa, Anajua Lowassa anapendwa na Kuheshimkwa Kuliko yeye, Ndio sababu ya Kuzuia Mikutano Kisa Mtu mmoja tu Lowassa! Magufuli amemkimbia Lowassa Arusha Period!Binadamu ni kiumbe changamani sana.
Huo ni ukweli ulio dhahiri ambao wala hauhitaji mtu uwe na 'kipaji maalumu' kuuona.
Hata iweje, binadamu kamwe huwa haridhiki.
Kwa kifupi, ni ndivyo tulivyo!
Kwa nini nasema hivyo? Nasema hivyo kwa sababu ya yaliyotokea huko Arusha wiki ilopita na kuagwa kwa waliopoteza maisha yao kwenye hiyo ajali mapema leo hii.
Kama ilivyodhaniwa/ ilivyotarajiwa, rais Magufuli hakuwepo kwenye hiyo shughuli.
Hii si mara yake ya kwanza yeye kukosa shughuli kama hii ya leo tangia awe rais.
Watu wengi sana wanamlaumu kwa kukosekana kwake. Kwangu hizo ni lawama halali kabisa.
Naamini ingekuwa ni vyema yeye mwenyewe kuwepo kuliko kutuma mwakilishi.
Sababu za yeye kutokwenda mimi sizijui na wala sitajaribu kuanza kusadiki ni nini kilichomfanya asiende.
Ila pia bado sijasahau kipindi ambapo Jakaya Kikwete alikuwa rais na watu wengi tu [hususan humu JF] walikuwa wakimbeza kuwa eti anapenda sana kwenda misibani kuuza sura kuliko kufanya kazi.
Kuna watu walimbatiza hadi jina kuwa eti ni "rais wa misiba". Na simzushii mtu...bofya hapa usome mwenyewe!
Kikwete alibezwa, akachekwa, akaitwa kila aina ya majina kutokana na kupenda kwake kuhudhuria misiba hata ya watu wa kawaida tu wasio maarufu.
Kuna wengine walidai eti anaweka 'precedent' mbaya na kwamba eti watu watakuwa wanategemea kumwona 'rais' kwenye kila msiba utokeao.
Sasa huyu Ngosha yeye yuko tofauti. Anaonekana si mtu wa kupenda kujichanganya changanya sana na watu.
Misiba mingi tu itatokea katika utawala wake maana huo ndo uhalisia wa maisha. Watu hufa kila siku kwa sababu anuai.
Labda yeye hataki kujenga matarajio kwa watu kuwa kila msiba utokeao na yeye lazima atawepo maana vifo ni vingi mno na ukienda kwenye kifo cha huyu au vifo vya hawa basi kila afapo mtu au wafapo watu, basi na wewe lazima uwepo.
Vyovyote vile, urais ni kazi ngumu sana. Ni kazi ambayo kwa kiasi kikubwa haina shukurani.
Ufanye hili, utalaumiwa na kulaaniwa. Usifanye lile, utalaumiwa na kulaaniwa.
Chochote ufanyacho na chochote usichokifanya, ni lawama na shutuma tu.
Wakati mwingine huwa hata sielewi kwa nini watu huwa wanapenda kuwa marais......
Unaota wewe! Si bure!Alijua Lowassa Angehudhuria Alijua Lowassa angeshangiliwa, He can not stand mtu mwingine anapewa sportlight mbele yake. Hiyo ndio sababu akaingia Mitini anajua Alipokonya Urais wa Lowassa, Anajua Lowassa anapendwa na Kuheshimkwa Kuliko yeye, Ndio sababu ya Kuzuia Mikutano Kisa Mtu mmoja tu Lowassa! Magufuli amemkimbia Lowassa Arusha Period!
Thank you a gazillion times my friend!Tatizo humu wengi hawajamuelewa mtoa mada kamaanisha ili kufikisha ujumbe wake kuhusu kiti cha Urais.
Pitieni hata mara 3 mtaelewa jamaa anavyomaanisha..
Wala hajamtetea Rais na pia katoa maoni kuhusu msiba huu wa taifa.
We Unaonaje Wananchi wenye Majonzi walivyomshangilia Lowassa Magu angeweza Kustahimili?Unaota wewe! Si bure!