Rais wa Madagascar aongeza lockdown kwa siku 14

Rais wa Madagascar aongeza lockdown kwa siku 14

bana mjue mkulu anakohoa halafu kikohozi kikavu

halafu kila akikohoa TBC wanahamisha camera kwenda kuganda kwa muapishwa mpaka amalize kukohoa... wakirudisha camera kwake anapatwa tena na changamoto...wanakimbiza tena camera!
 
Lini watu walifungiwa ndani kwa sababu ya malaria!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani umesikia tahadhari dhidi ya Malaria ni kujifungia ndani? Au umeona wapi nimeandika hivyo?

Kila ugonjwa una tahadhari yake kutokana na namna unavyoambukizwa.

Mf UKIMWI tahadhari yake kuu ni kuacha ngono zembe. Na Malaria ni kutumia chandarua wakati wa kulala. Na Corona mojawapo ndo hiyo kujifungia ndani.
 
Baadhi ya watanzania wakati mwingine akili yenu si nzuri kabisa maana rais Magufuri haitakii Tanzania mabaya, lakini utaona watu humu wengine wakiandika kwa kucheka utafikiri ni jambo la kuchekesha na hapo ndio utaona ujinga wa baadhi ya watu humu, vita tunapigana sisi wenyewe lakini baadhi wanageuka na kuanza kusaliti si vyema hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati tukijiandaa kutuma Ndege kwenda Madagascar kuchukua dawa inayosadikika kuponya ugonjwa ambao pia kwa mujibu wa kiongozi wetu mkuu siyo tishio kihivyo

Mganga wa Africa Rais wa Madagascar Rajolina katangaza kuongeza siku za kukaa ndani maarufu lockdown kwa siku kumi na nne , baada ya Jana kuripotiwa visa vingine kumi na saba vya corona. Kadai vipimo vya maabara vitafanyika wiki ijayo kuthibitisha uponyaji wa hii dawa.
Imekuwaje Magufuli amekua fooled na hizo dawa za kubumba ?
 
Ikipigwa huku tunageukia kule, kama wanasesere [emoji3][emoji3][emoji3]
Mzee mmoja Mchaga anaishi hapa Mpanda kanambia hiyo dawa ya Madagascar iko tele Uchagani inaitwa "Ihombo". Na kasema inatibu sana mafua na kikohozi cha kawaida. Huchanganywa na kuchemshiwa kwenye Chai au supu.
 
.
IMG_20200501_072642.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwekane sawa. Hiyo dawa inazuia maambukizi ama inatibu? Niidhani kwamba watu wataambukizwa kulingana na exposure zao lakini dawa hiyo itawatibu, kama vie ambavyo kuwa na dawa za malaria hakuzuii maambukizi ya malaria.

Mnasemaje wadau?
Kuna baadhi ya wadau wanaojitambua wataficha nyuso zao baada ya kugundua walishindwa kuficha upumbavu wao kwa kutoa lugha za kejeli kwa mihemuko!!! Post yako hii imewatuliza
 
Back
Top Bottom