Rais wa Madagascar aongeza lockdown kwa siku 14

Rais wa Madagascar aongeza lockdown kwa siku 14

Tuwekane sawa. Hiyo dawa inazuia maambukizi ama inatibu? Niidhani kwamba watu wataambukizwa kulingana na exposure zao lakini dawa hiyo itawatibu, kama vie ambavyo kuwa na dawa za malaria hakuzuii maambukizi ya malaria.

Mnasemaje wadau?
Uko sahihi wanaoponda dawa ya madagadsca wana agenda zao
 
Analinda wananchi wake. HANA KIFO HATA KIMOJA. Acha umbea.
 
Kwa kuwa amesikia nchi nyingi barani Afrika zikijipanga kwa ajili ya kwenda kuchukua makontena ya vichupa huko, ameona ni vyema wananchi wake wabaki majumbani kuwazuia wasiambukizwe na wageni wanaomiminika nchini kwake, maana wakipata maambukizi dawa hiyo hiyo ambayo pengine ingesaidia kutibu wagonjwa kwenye nchi nyingine badala yake itatibu raia wake, hali ambayo itasababisha demand kuwa kubwa kuliko supply.
 
Kwa maelezo ya Rajeolina anadai dawa inazuia na kutibu, hakunaga chanjo ya mitishamba
Tuwekane sawa. Hiyo dawa inazuia maambukizi ama inatibu? Niidhani kwamba watu wataambukizwa kulingana na exposure zao lakini dawa hiyo itawatibu, kama vie ambavyo kuwa na dawa za malaria hakuzuii maambukizi ya malaria.

Mnasemaje wadau?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayempinga jiwe wetu amelaaniwa, acheni jiwe aitwe jiwe. Akisema kuna dawa madagascar we jua dawa ipo, alisema wajifukize unajua wangapi wamepona? Jiwe genius
 
Tuwekane sawa. Hiyo dawa inazuia maambukizi ama inatibu? Niidhani kwamba watu wataambukizwa kulingana na exposure zao lakini dawa hiyo itawatibu, kama vie ambavyo kuwa na dawa za malaria hakuzuii maambukizi ya malaria.

Mnasemaje wadau?
wadau tunakusikiliza na kusema hiiiiiii !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom