google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,877
naona anatafuta njia zote zenye mteremko kisa anatumia baiskeli. kila kwenye mteremko ndiko aendako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tahadhari ambayo sisi hatuichukui.Kwani kupata tiba ya ugonjwa ndo usichukue thadhari?
Mbona Malaria ina dawa na kila siku tunalala na vyandarua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema sisi tunachukua tahadhari, ila mtoa mada yeye anashangaa Madagascar kuendelea na lockdown wakati wana dawa.Tahadhari ambayo sisi hatuichukui.
Nenda kaswali msikiti wa mtoro umeshafunguliwa.
Acha kabisa hii dawa yaani unatibu vitu viwili wakati mmoja.kabisa mkuu na kama mwanzoni ulikuwa unajiweza weza alafu uanze hiyo formula laahaulaa utawategua wengi sanaa nyonga.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂 😂 😂 😂 😂Nenda kaswali msikiti wa mtoro umeshafunguliwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yamekua hayo tena
😂 😂 😂 😂 😂Yamekua hayo tena
Uislam sio tusi.Sijasema sisi tunachukua tahadhari, ila mtoa mada yeye anashangaa Madagascar kuendelea na lockdown wakati wana dawa.
Sio sahihi kuacha tahadhari kisa una dawa.
Halafu mkuu mimi si muislamu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimesikiliza vyombo mbali mbali vya habari vya nchi kadhaa kwa kweli tumegeuka kuwa kituko cha dunia kwa namna tunavyo dilli na corona.
yeye anaenda bila kurudiAsisahau ukienda na mteremko, kurudi ni mpando... labda aende asirudi.
Sijasema uislamu tusi. Umeniambia msikiti wa mtoro umefunguliwa nikaswali nikajibu mimi si muislamu.Uislam sio tusi.
Mkuu issue ni, lockdown ya nini wakati una dawa?Sisi tuna nyungu tu but hatuna lockdown sasa yeye anakwama wapi
Sijasema sisi tunachukua tahadhari, ila mtoa mada yeye anashangaa Madagascar kuendelea na lockdown wakati wana dawa.
Sio sahihi kuacha tahadhari kisa una dawa.
Halafu mkuu mimi si muislamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikosea sana siku ile...!Nimesikiliza vyombo mbali mbali vya habari vya nchi kadhaa kwa kweli tumegeuka kuwa kituko cha dunia kwa namna tunavyo dilli na corona.