pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Wakati tukijiandaa kutuma Ndege kwenda Madagascar kuchukua dawa inayosadikika kuponya ugonjwa ambao pia kwa mujibu wa kiongozi wetu mkuu siyo tishio kihivyo
Mganga wa Africa Rais wa Madagascar Rajolina katangaza kuongeza siku za kukaa ndani maarufu lockdown kwa siku kumi na nne , baada ya Jana kuripotiwa visa vingine kumi na saba vya corona. Kadai vipimo vya maabara vitafanyika wiki ijayo kuthibitisha uponyaji wa hii dawa.